Dodoma FM

Wakazi wa Pwaga waiomba Serikali huduma ya umeme

8 June 2022, 2:59 pm

Na; Victor Chigwada.

Wakazi wa Kata ya Pwaga Wilaya ya Mpwampwa wameiomba Serikali kuwafikishia  huduma ya umeme.

Wakizungumza na taswira ya habari wameleza changamoto hiyo imekuwa ya muda mrefu licha ya wao kujaribu kutuma maombi ya kuunganishiwa umeme.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Munguwi amekiri huduma hiyo kufika Kijijini kwake katika vitongoji viwili Kati ya vinne ambavyo hata hivyo havijanufaika na uwepo wa umeme huo kwani umefuata barabara.

.

Diwani wa Kata hiyo Bw.Wilfredi Mgonela amesema licha ya kuwepo kwa huduma ya umeme bado haujafikia wananchi majumbani yupo katika ufuatiliaji kuhakikisha wananchi wananufikiwa na huduma hiyo na kunufaik nyo.

.