vyumba vya madarasa
8 February 2023, 12:50 pm
Ukosefu wa nishati ya umeme yaleta chuki kwa viongozi
Imelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya nishati ya umeme kwa baadhi ya vitongoji katika Kata ya Idifu imesababisha baadhi wananchi kujenga chuki kwa viongozi na kutaja kitendo cha kukosekana kwa nishati hiyo ni uzembe wa viongozi. Na Victor Chigwada. Mwenyekiti…
22 January 2023, 10:18 am
Matumbulu walalamika gharama za umeme
Na; Mindi Joseph. Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo. Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa…
13 January 2023, 4:11 pm
Vijiji 64 vyapata umeme jiji la Dodoma
Mkoa wa Dodoma una miradi mitano ya Umeme Vijiji ambapo mradi uliokamilika umewezesha kupelekea umeme kwa maeneo 80 ndani ya Vijiji 64. Thomas mbaja ni mwakilishi wa REA amefafanua hilo ikiwa ni utekelezaji wa kuhakikisha umeme vijijini .
1 December 2022, 8:11 am
Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme
Na; Victor Chigwada . Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…
1 December 2022, 7:29 am
Serikali yasaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato
Na; Mariam Kasawa. Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA. Mkataba huu unaweka utaratibu wa serikali kupata zaidi. Kwa mara ya kwanza Serikali inapata kwenye Mapato ghafi…
21 October 2022, 9:57 am
Wakazi wa Chenene waiomba serikali iwafikishie huduma ya umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji Cha Chenene wilaya ya Chamwino wameiomba serikali kuwafikishia huduma ya nishati ya umeme ili kusaidia uchumi wa kijiji hicho kukua zaidi. Hayo yamesemwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari…
18 October 2022, 6:10 am
Wakazi wa Miganga waiomba serikali kuendelea kusambaza umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga Kata ya Idifu wilaya ya Chamwino wameiomba serikal kuendelea kusambaza nishati ya umeme katika kijiji hicho hali itakayosaidia kukua kwa uchumi. Ombi hilo wamelitoa wakati wakizungumza na Taswira ya habari kuhusu uwepo…
8 June 2022, 2:59 pm
Wakazi wa Pwaga waiomba Serikali huduma ya umeme
Na; Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Pwaga Wilaya ya Mpwampwa wameiomba Serikali kuwafikishia huduma ya umeme. Wakizungumza na taswira ya habari wameleza changamoto hiyo imekuwa ya muda mrefu licha ya wao kujaribu kutuma maombi ya kuunganishiwa umeme. Mwenyekiti wa…
24 September 2021, 9:24 am
Wakazi wa kijiji cha Iyumbwi wakumbwa na sintofahamu ujenzi wa vyumba vya madara…
Na; Mariam Matundu . Katika kuendelea kutatua changamoto za miundombinu ya elimu wakazi wa Kijiji cha Iyumbwi Kata Ya Nghumbi Wilayani Kongwa wanaendela na ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Iyumbwi kwa nguvu zao .Katika ujenzi…
1 September 2021, 12:55 pm
Kata ya Masanga yaiomba serikali kuwasaidia kuongeza vyumba vya madarasa
Na; Victor Chigwada. Licha ya jitihada za wananchi wa Kata ya Msanga Wilayani Chamwino katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa wameiomba Serikali kuwaongezea nguvu ya ujenzi wa madarasa pamoja na walimu Baadhi ya wananchi hao wakizungumza…