Dodoma FM

Fountain Gate warejea Kambini

1 April 2021, 1:07 pm

Na; Matereka Junior

Uongozi wa timu za Fountain Gate acadey umetangaza kurejea kambini kwa wachezaji wao wote wa timu za wanaume na wanawake ili kuanza maandalizi ya mechi za ligi.

Afisa habari wa timu hiyo Juma Ayo amesema wachezaji wameanza kurudi leo Alhamisi na kesho wataanza rasmi mazoezi.