Dodoma FM

michezo

12 April 2021, 2:06 pm

Ligi ya wilaya yaanza jijini Dodoma

Na; Matereka Junior Ligi ya wilaya imeanza rasmi jana na mechi ya ufunguzi imewakutanisha kati ya WAGONGA NYUNDO 3-0 NZUGUNI RANGERS. Katibu wa DUFA, Omarooh Omar amezungumzia kuanza kwa ligi hii. CLIP OMAROH

1 April 2021, 1:07 pm

Fountain Gate warejea Kambini

Na; Matereka Junior Uongozi wa timu za Fountain Gate acadey umetangaza kurejea kambini kwa wachezaji wao wote wa timu za wanaume na wanawake ili kuanza maandalizi ya mechi za ligi. Afisa habari wa timu hiyo Juma Ayo amesema wachezaji wameanza…

31 March 2021, 12:26 pm

Ligi kuu Tanzania Bara kurejea dimbani April 8

Na; Matereka Junior. Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania,(TPLB) Almas Kasongo amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea Aprili 8 baada ya kutimiza siku 21 za maombolezo. Amesema baada ya kuipitia ratiba yao wamekuja na mabadiliko ambapo ligi…

19 March 2021, 1:04 pm

Masumbwi wanawake kuahirisha mpambano.

Na, Mariam Kasawa. Pambano la  masumbwi kwa Wanawake Queen of the Ring (‘Malkia wa Ulingoni) limeahirishwa kupisha kipindi cha Maombolezo. Mratibu wa Habari wa wakala wa Michezo Nchini wa  Peaktime Joyce Mbogo amesema  wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo…

17 March 2021, 1:39 pm

Dodoma Jiji yaikabili Biashara

Na Matereka Junior Wakati ligi kuu bara ikiwa imesimama kupisha timu ya Taifa iliyopo Kenya kujiandaa na mechi za kufuzu mataifa Afrika, AFCON, Ligi ya timu za vijana wa chini ya miaka 20 za timu zote za ligi kuu inashika…

9 March 2021, 9:14 am

Dodoma Jiji Fc wasaka rekodi

Na, Rabiamen Shoo, – Dodoma. Timu ya Dodoma Jiji Fc hii leo inatarajia kushuka katika dimba la Sokoine jijini Mbeya kuvaana na wenyeji wao Mbeya City Fc kwenye mechi ya ligi kuu soka Tanzania Bara. Dodoma jiji hivi karibuni imeibuka…

12 January 2021, 9:39 am

Jezi Dodoma Jiji Fc zawasili

Dodoma. Jezi za timu ya Dodoma Jiji Fc tayari zimewasili jijini Dodoma.Kwa mujibu wa katibu Mkuu wa Klabu hiyo Fortunatus John ‘Foty” jezi hizo zilichelewa kuwasili nchini kutokana janga la Covid-19 lililotokea nchini China ambapo ndipo zilipokuwa zikitengenezwa. “Tumeleta mzigo…