Dodoma FM

Kausha damu yawaliza wanawake Jijini Dodoma

28 February 2023, 5:59 pm

Wanawake wakiwa katika kongamano la wanawake katika mtaa wa makole .Picha na Mindi Joseph.

Mikopo hiyo imepachikwa jina la kausha damu kutokana na maumivu wanayopata wakopaji kwa kuwa na riba kubwa  ambayo imegeuka kuwa  machungu.

Na Mindi Joseph.

Wanawake Kata yA Makole Jijini Dodoma wametajwa kuwa Waathirika wakubwa wa mikopo ya kausha damu na kusababisha kufilisiwa mali zao.

Wananwake wa mtaa wa makole Jijini Dodoma Wamezungumza na Taswira ya Habari na kusema.

Sauti ya wanawake wa mtaa wa Makole.

Afisa maendeleo ya Jamii kutoka ofisi ya mkuu wa Mkoa Bi. Happy Hiza anasema wanaendelea kuwahimiza wanawake kuachana na mikopo hiyo ya kausha damu.

Sauti ya Afisa maendeleo ya Jamii kutoka ofisi ya mkuu wa Mkoa Bi. Happy Hiza .

Nae Diwani wa kata ya makole Omary Haji anafanya nini wanawake kuondokana na hii  mikopo ya ‘kausha damu.

Sauti ya Diwani wa kata ya makole Omary Haji