kuhifadhi mazao
23 January 2024, 8:44 pm
Wazazi, walezi watakiwa kuacha kushinikiza watoto kujifelisha mitihani
Hata hivyo changamoto hiyo imekuwa ni kubwa kwa baadhi ya wazazi kuwataka watoto wao kutofanya vizuri katika mitihani yao mwisho. Na Victor ChigwadaJamii imetakiwa kuachana na dhana potofu ya kuwakatisha watoto wao masomo kwa kuwawekea shinikio la kujifelisha mitahani yao…
9 January 2024, 9:01 pm
Ndugai akerwa na wanafunzi wanaojifelisha darasa la saba
March 14 mwaka 2023 Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kupitia kwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo white zuber ilitangaza kuanza kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Na…
9 January 2024, 8:10 am
WEO, VEO watakiwa kuhakikisha watoto wote wanawasili shuleni
Mkuu wa mkoa ametembelea baadhi ya shule ikiwemo shule mpya ya sekondari miyuji pamoja na shule ya msingi Chikoye iliyopo msalato jijini Dodoma. Na Thadei Tesha. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh Rosemery Senyamule amewaagiza watendaji wa kata na mitaa…
8 January 2024, 8:47 pm
Wanafunzi kidato cha kwanza kupokelewa shuleni bila kujali mapungufu ya mahitaji…
Mzazi anaweza kumpeleka mtoto hata kama hajakamilisha mahitaji yote ili aweze kuanza masomo wakati taratibu za kukamilisha mahitaji hayo zikiendelea. Na Fred Cheti.Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka shule wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza bila ya…
28 December 2023, 10:04 pm
Ujenzi wa shule katika Mtaa wa Mbwanga kuinua kiwango cha elimu
Afisa Mtendaji wa mtaa huo ameahidi kuhakikisha hakuna mtoto anae achwa nyuma katika zoezi la uandikishaji wa darasa la kwanza na awali. Na Mariam Matundu.Kukamilika kwa ujenzi wa shule ya Msingi Jitegemee ilijengwa katika Mtaa Mbwanga kata ya Mnadani kunatarajia…
4 December 2023, 4:57 pm
Makala: Ushirikiano wa wazazi na walimu katika maendeleo ya mtoto shuleni
Na Mariam Matundu. Mwandishi wetu Mariam Matundu amezungumza na Kamishna wa Elimu Tanzania, Dk. Lyambwene Mutahabwa na hapa anaelezea umuhimu wa ushiriki wa wazazi na walimu katika Maendeleo ya Mtoto.
30 October 2023, 12:20 pm
Umbali mrefu chanzo wanafunzi kukatisha masomo Mbandee
Kupitia mradi wa BOOST umeendelea kuimarisha elimu msingi kwani takribani shilingi trilioni moja zimejenga madarasa ya shule za msingi 9,705 na kukarabati shule za msingi kongwe kwa mwaka wa fedha 2022/23. Na Mindi Joseph. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa kitongoji…
11 October 2023, 9:43 am
Serikali kuendelea kushirikiana na wadau binafsi kuboresha elimu
Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa Elimu nchini. Na Thadei Tesha. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa…
30 August 2023, 3:12 pm
Elimu ya usalama barabarani yaendelea kutolewa kwa wananchi
Ili kupunguza vitendo vya ajali za Mara kwa mara madereva na watumiaji wa barabara kwa ujumla wameendelea kuaswa kuzingatia sheria za usalama barabarani . Na Thadei Tesha. Ili kupunguza ajali za barabarani zinazoweza kusabababishwa na uzembe pamoja na kutokutii sheria…
1 May 2023, 4:28 pm
Bahi Sekondari wamshukuru Rais Samia
Amewaomba viongozi hao kusaidia kutoa elimu ili wazazi wachangie chakula cha mchana kwa watoto jambo ambalo litasaidia kuinua kiwango cha elimu shuleni hapo. Na Bernad Magawa. Uongozi wa Shule ya sekondari bahi umetoa shukrani kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano…