Dodoma FM

kuhifadhi mazao

7 December 2022, 11:29 am

Wananchi washiriki maendeleo ya kata Mparanga

Na ;Victor Chigwada.                                                                                      Kuongezeka kwa elimu  ya ushiriki wa maendeleo katika   jamii imesaidia kuongeza nguvu kwa Serikali juu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazo wazunguka wananchi Hayo yanajiri baada ya wananchi wa Kata ya Mpalanga kushiriki pamoja kukusanya fedha na…

2 December 2022, 6:52 am

Kata ya majeleko yakamilisha ujenzi wa madarasa

Na ;Victor Chigwada .     Ujenzi wa vyumba vya madarasa unaendelea kuwa kipaumbele katika maeneo mengi nchini ili kuendana na sera ya elimu bila malipo ambayo imechangia kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi. Mwenyekiti wa kijiji cha Chinangali one Kata ya…

1 December 2022, 7:16 am

Bahi sokoni waiomba serikali kuongeza madara

Na; Benard Filbert. Wananchi wa wilaya ya Bahi Kata ya Bahi Sokoni wameiomba serikali kuongeza madarasa shule ya Msingi Bahi Sokoni ili kukidhi idadi ya wanafunzi waliopo katika shule hiyo. Wakizungumza na taswira yahabari wamesema ni vyema serikali ika ongeza…

12 October 2022, 12:43 pm

Uhaba wa madarasa Miganga wawanyima uhuru wanafunzi

Na; Benard Filbert. Uhaba wa madarasa katika shule ya msingi Miganga kata ya Idifu wilaya ya Chamwino imetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi kujifunza kwa uhuru. Hayo yameelezwa na wazazi wa wanafunzi katika kijiji cha Miganga wakati wakizungumza na Taswira ya…

28 June 2022, 8:43 am

Chigongwe walalamikia ukosefu wa nyumba za walimu

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni idadi…

11 May 2022, 2:45 pm

Belege waishukuru serikali kuboresha sekta ya Elimu

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Belege Wilayani Mpwapwa wameishukuru Serikali ya awamu ya tano pamoja na awamu ya sita kwa jitihada za kuboresha sekta ya elimu Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo kwa niaba ya…