Dodoma FM

kuhifadhi mazao

6 April 2023, 5:53 pm

Wazazi Huzi watakiwa kuto katisha masomo ya watoto wao

Diwani wa kata hiyo anasema suala hilo limeendelea kulichukuliwa hatua kali kwa wazazi wanao jihusisha na vitendo hivyo na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Wito  umetolewa kwa wazazi wa Kata ya Huzi Wilaya ya Chamwino kuachana na dhana potofu ya…

15 March 2023, 6:06 pm

Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…

7 March 2023, 6:46 pm

Ukosefu wa shule wasababisha ndoa za utotoni

Kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza roho Kata ya Manzase Wilaya ya Chamwino imesababisha wanafunzi kuacha masomo na kuamua kuolewa katika Umri mdogo. Na Victor Chigwada, Imeelezwa kuwa changamoto ya kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza…

6 March 2023, 4:52 pm

Tamko la serikali kuelekea siku ya wanawake

Elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo kiuchumi na kiutawala ili kuimarisha usawa wa kijinsia nchini. Na Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika…

28 February 2023, 5:59 pm

Kausha damu yawaliza wanawake Jijini Dodoma

Mikopo hiyo imepachikwa jina la kausha damu kutokana na maumivu wanayopata wakopaji kwa kuwa na riba kubwa  ambayo imegeuka kuwa  machungu. Na Mindi Joseph. Wanawake Kata yA Makole Jijini Dodoma wametajwa kuwa Waathirika wakubwa wa mikopo ya kausha damu na…

15 February 2023, 10:41 am

Adaiwa fedha watoto wafutwe shule

Na Benard Magawa. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Raisi Dkt. Samia Suluhu Hasani ikiendelea kuboresha miundombinu ya elimu ili kila mtoto wa kitanzania apate elimu ya Msingi na Sekondari bila malipo ili kutokomeza kabisa uwepo…

12 January 2023, 1:59 pm

Elimu ya chanjo ya uviko 19 ni muhimu kwa wazazi

Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ni muhimu kwa wazazi na walezi kupata chanjo ya uviko 19 kwani mbali na kujilinda wao wenyewe lakini pia husaidia kuwalinda watoto. Bi Lotalisi Gadau  ni mratibu wa mpango wa taifa wa chanjo kutoka wizara…