Dodoma FM

Sakata la kufutiwa matokeo wazazi wazua gumzo

6 February 2023, 1:39 pm

Mtangazaji Leornad Mwacha wa kipindi cha Kapu Kubwa akielezea zaidi juu ya sakata hilo.Picha na Martha Mgaya

Wazazi wameandamana baada ya matokeo ya watoto wao kufutwa.

Na Mariam Kasawa.

Wazazi wameandamana baada ya matokeo ya watoto wao kufutwa walia na serikali wakiomba wizara ya elimu iwasaidie kupata majibu ya watoto wao kwani wamewasomesha kwa shida sana.

Mzazi Aida Abdala amlilia raisi Samia.
Mzazi wa Radhia Akilalamika.
Sauti ya mzazi akiomba balaza iwasaidie.

Kwahabari zaidi juu ya sakata hili bonyeza hapa.