wakulima wakitazama mazao yaliyo shambuliwa.
Dodoma FM

Wakulima Kongwa kupambana na wadudu

30 January 2023, 9:02 am

Na; Mariam Kasawa.

wadudu aina ya viwavijeshi wakishambulia mazao

Wakulima katika wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wametakiwa kuchukua hatua mapema za kupambana na wadudu waharibifu wa mazao.

Akiongea na taswira ya habari Afisa kilimo wilaya ya Kongwa Bwana Jackson shida anasema…..

Sauti afisa kilimo

Pia Shija amewataka wakulima kuchukua hatua za kitaalamu ili waweze kuepukana na changamoto ya wadudu hao wanaoshambulia mahindi na mtama

Sauti afisa kilimo

Vilevile Shija amesema kuwa viwavijeshi wanaweza kufa kirahisi kwa kutumia viuatilifu vya aina yoyote hivyo watumie kupulizia mashambani ili kuwadhibiti wadudu hao.

Sambamba na hayo Diwani wa kata ya Iduo Mheshimiwa Valentino Seng’unda amekili kuwepo kwa viwavijeshi katika kata yake

Sauti diwani