Dodoma FM

Kata ya Kongwa yakabiliwa na uchelewaji wanafunzi kuripoti shuleni

16 January 2023, 2:11 pm

Na; Benadetha Mwakilabi.

Kushindwa kuripoti kwa wakati shuleni kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2022/2023 imetajwa kuwa ni moja ya changamoto kubwa inayokabili kata ya Kongwa.

Akiongea na wenyeviti wa vijiji vya kata ya Kongwa mwenyekiti wa mamlaka ya mji mdogo kongwa Bw Geoffrey Kalatunga anasema…..

Taarifa hii imeandaliwa na Benadetha Mwakilabi.

.