Dodoma FM

Ifahamu tiba ya maambukizi ya via vya uzazi vya Mwanamke P.I.D

6 April 2023, 4:34 pm

Daktari akizungumzia matibabu ya maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D. Picha na Yussuph Hassan.

Huu ni mfululizo wa makala hii ya Afya ambapo kipindi kilicho pita tulingazia kuhusu P.I.D ni nini

Na Yussuph Hassan.

Tunaendelea na mfululuzo wa kuzungumzia juu ya Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D, baada ya kufahamu chanzo na dalili zake na leo tunazungumzia tiba ya ugonjwa huo.