Storm FM

Recent posts

10 September 2025, 4:17 am

Wajasiriamali, wakulima Geita watoa kero kwa Mhandisi Chacha

Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wameendelea kuzungumza na wananchi kunadi sera za ilani ya vyama vyao ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu. Na: Ester Mabula Baadhi ya Wananchi wa mtaa wa Mwatulole na…

9 September 2025, 5:58 pm

Simba tawi la Mkolani yawakumbuka wagonjwa

Kitendo hicho ni mfano wa kuigwa katika jamii kwani tukio hilo limeleta faraja kwa wagonjwa na hamasa kwa watoa huduma. Na Mwandishi Wetu: Kuelekea tamasha la Simba Day siku ya kesho, Mashabiki wa Simba tawi la Mkolani Manispaa ya Geita wamefanya…

5 September 2025, 11:32 am

Wezi wabomoa na kuiba ndani ya duka Msalala road

“Matukio ya vibaka na wezi kuiba katika mtaa huu yamekithiri hatuna amani, serikali iwashughulikie watu watakaobainika ili iwe fundisho” – Mwananchi Na: Amon Mwakalobo Watu wasiofahamika wanaosadikika kuwa ni wezi wamebomoa kibanda cha biashara (duka) cha Bw. Shemu Masato katika…

5 September 2025, 10:54 am

Idadi ya wanawake waliopenya kugombea nafasi ya ubunge Geita

Ni siku chache tangu kutajwa majina ya wanachama wa CCM waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania ubunge katika majimbo mbalimbali nchini. Idadi ya wanawake waliochaguliwa na chama hicho imeonekana kuwa chini tofauti na ilivyo kwa wanaume, JE NINI SABABU YA IDADI…

5 September 2025, 10:50 am

Mradi wa mabanda ya kudumu viwanja vya maonesho Geita waendelea

Ikumbukwe mkoa wa Geita umekuwa ukifanya maonesho ya teknolojia ya madini kila mwaka ambapo kwa mwaka huu 2025 yatafanyika kwa mara ya 8. Na: Edga Rwenduru Serikali mkoani Geita imeanza ujenzi wa mabanda ya kudumu katika viwanja vya maonesho ya…

5 September 2025, 10:21 am

Wakazi wa Nyakafuru wafurahia kituo cha afya

Jumla ya miradi 9 ya maendeleo kwenye sekta ya afya, maji, elimu na miundombinu ya barabara wilayani Mbogwe mkoani Geita imepitiwa na Mwenge wa uhuru mwaka 2025. Na: Kale Chongela Wakazi wa kata ya Nyakafuru, halmashauri ya wilaya ya Mbogwe…

5 September 2025, 1:11 am

Kituo cha afya Gakala tumaini jipya Bukandwe

Kituo hicho kitapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya wananchi kutembea umbali mrefu kutafuta huduma. Na Kale Chongela: Wakazi wa Kata ya Bukandwe wilayani Mbogwe mkoa wa Geita wanatarajia kuanza kunufaika na huduma za afya mara baada ya kukamilika kwa ujenzi…

4 September 2025, 10:38 am

Mwenge waridhishwa na mradi wa visima Nyangh’wale

Mwenge wa uhuru ukiwa wilaya ya Nyangh’wale  umetembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye jumla ya miradi 11 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1. Na: Kale Chongela Mwenge wa uhuru umeridhishwa na ujenzi wa mradi wa visima vitano vya maji katika kata ya Shabaka, halmashauri…

4 September 2025, 10:19 am

Majimbo 7 kati ya 9 Geita hayana wagombea upinzani

Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimezindua rasmi kampeni za kunadi ilani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu. Na: Edga Rwenduru Uzinduzi wa kampeni hizo umefanyika Septemba 02, mwaka huu Katika kata ya…

3 September 2025, 9:56 am

Picha: Mwenge wa uhuru wakabidhiwa Nyangh’wale

Ikumbukwe Mwenge wa uhuru ulipokelewa mkoani Geita Septemba mosi, 2025 ukitokea mkoani Mwanza ambapo umeendelea kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Na: Kale Chongela Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale  Mhe. Grace  Kigalame  ameupokea Mwenge wa Uhuru  kutoka kwa Mkuu wa wilaya…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.