Storm FM
Storm FM
5 October 2025, 5:57 pm
Katika hali ya kusikitisha mwili wa mtoto Magreth Dickson (7) umekutwa umetelekezwa katika mtaa wa Katoma ikiwa ni siku sita tangu kutangazwa na kituo cha Storm FM kuwa amepotea. Na: Ester Mabula Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 7…
3 October 2025, 5:35 pm
Mhe Majaliwa akiwa Bukombe amesema hakuna sababu ya walimu kurundikana mijini wakati vijijini kuna uhitaji mkubwa . Na Mrisho Sadick: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya…
2 October 2025, 3:52 pm
TAKUKURU imeendelea na mikakati mbalimbali ya kutoa elimu kwa UMMA ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kuhakikisha mazingira huru, haki na yenye uwazi. Na: Ester Mabula Taasisi ya Kuzuia na Kupambana…
30 September 2025, 12:00 pm
Karibu kusikiliza makala maalumu kuhusu afya ya uzazi. Makala hii inaletwa kwako kupitia Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na WELL SPRING ambao wanatekeleza mradi wenye lengo la kutoa elimu na uchechemuzi juu ya afya ya…
29 September 2025, 1:20 pm
Kupitia risala yao wanafunzi wa shule ya sekondari msalala wameishukuru serikali kwa uwekezaji huo na kuiomba kuwasaidia kupata basi la shule Na Mrisho Sadick: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msalala wilayani Nyang’hwale mkoani Geita pamoja na wananchi wa eneo hilo…
27 September 2025, 12:42 am
“Ilani ya CCM kwa mwaka 2025 imeainisha maeneo muhimu yanayogusa maisha ya wananchi kwenye afya, elimu, miundombinu pamoja na biashara” – Mhandisi Chacha Na:Ester Mabula Mgombea ubunge wa Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya CCM Mhandisi Chacha Wambura katika…
26 September 2025, 10:11 pm
Mikopo hiyo inawahusu pia watoa huduma kwenye migodi ya dhahabu, wauzaji wa vito vya thamani pamoja na wafanyabiashara wa kada mbalimbali. Na Mrisho Sadick: Stanbic Bank imeendelea kuunga mkono maendeleo ya sekta ya madini nchini kwa kutoa mikopo maalum kwa…
26 September 2025, 10:19 am
Je wanawake wanakumbana na changamoto zipi katika nafasi za uongozi au wakati wa kutafuta nafasi za uongozi? Kaibu kusikiliza kipindi maalumu cha Mwanamke na Uongozi kinachoangazia masuala mbalimbali ya wanawake kwa kina. Muandaaji wa kipindi hiki ni Ester Mabula kwa…
25 September 2025, 4:49 am
Maonesho ya madini ya Geita ni sehemu ya juhudi za serikali kupitia wizara ya madini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, katika kuendeleza sekta ya madini kwa kutoa elimu, kukuza ushirikiano wa kibiashara na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wachimbaji na…
25 September 2025, 3:53 am
Mgombea udiwani kata ya Bukoli (CCM) Faraji Seif amewaomba wananchi wa kata hiyo kuendeleza imani na Chama cha mapinduzi kwa kuweza kuwachagua katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Na: Ester Mabula Mgombea wa udiwani kata ya Bukoli kupitia Chama…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.