Storm FM

Recent posts

26 August 2025, 4:45 pm

Bodaboda Geita wafunguka serikali kuwaondolea kodi

Msamaha wa kodi kwa waendesha au wamiliki pikipiki zinazotumiwa kibiashara maarufu kama bodaboda ambapo awali walikua wakilipa shilingi 65,000 kwa mwaka kwasasa hawalipi chochote. Na Edga Rwenduru: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita imesema mabadiliko ya sheria za…

23 August 2025, 9:28 pm

Hawa hapa walioteuliwa kugombea ubunge Geita

Kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea kimeongozwa na mwenyekiti wa CCM Dkt Samia Suluhu Hassan. Na Mrisho Sadick: Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla ametangaza majina…

23 August 2025, 8:14 pm

Mahafali ya 13 Waja Spring Geita, DC asisitiza malezi

Malezi bora ndiyo msingi wa mafanikio ya baadaye kwani mtoto anayekuzwa katika mazingira mazuri huwa na nafasi kubwa ya kutimiza ndoto zake. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Sakika Mohamed amewataka wazazi na walezi kuweka kipaumbele…

22 August 2025, 3:27 pm

GGML yaridhia kuwalipa fidia wakazi Nyakabale na Nyamalembo

Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande zote kukubaliana kuanza mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo yanayotumiwa na mgodi huo Na: Ester Mabula Serikali kupitia wizara ya madini imetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka…

22 August 2025, 1:16 pm

Maabara ya utafiti wa madini yaanza kujengwa Geita

Ujenzi wa maabara ya madini Geita ni miongoni mwa maabara za utafiti wa madini kubwa tatu zinazojengwa nchini Tanzania Na: Ester Mabula Kutokana na changamoto ya wachimbaji wa madini kutoka mikoa ya kanda ya ziwa kusafiri umbali mrefu hadi Dodoma…

22 August 2025, 11:42 am

GGML yafadhili mafunzo ya usalama kwa maafisa usafirishaji Geita

Usalama ndiyo tunu ya kwanza katika tunu sita zinazoongoza mgodi wa GGML ambazo zinatajwa kuchochea uzalishaji pamoja na kutoa mwongozo kwa wafanyakazi wa GGML. Na: Ester Mabula Kampuni ya Geita Gold Minning Limited (GGML) imeendeleza kuiishi tunu yao ya kwanza…

21 August 2025, 2:58 pm

Msako madereva Bajaji wavunja sheria Geita

Oparesheni hiyo ni endelevu na inalenga kulinda usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara Na Kale Chongela. Na Kale Chongela: Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita limesema halitawafumbia macho madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani…

20 August 2025, 9:00 pm

TAG yawakumbuka wajane na wahitaji Geita

Jamii imetakiwa kuendelea kuwakumbuka wajane kwakuwa wengi wao wanapitia changamoto nyingi hususani za kiuchumi Na Kale Chongela: Kanisa la TAG Heri Wenye Moyo Safi Mtaa wa Nyantorotoro B Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita limetoa msaada wa vyakula kwa watu…

20 August 2025, 8:21 pm

Sakata la TFS na wananchi Lwamgasa limekwisha

Miongoni mwa sababu kubwa za mgogoro huu ni uhaba wa maeneo ya kilimo, hali inayochangiwa na shughuli nyingi za uchimbaji wa madini ya dhahabu. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya wakazi wa kijiji cha Lwamgasa wilayani Geita kuvamia na…

19 August 2025, 4:04 pm

Milioni 60 zahitajika jengo la mama na mtoto Chato

Hadi sasa tayari shilingi milioni 3 zimekusanywa kupitia jitihada za jamii na wadau mbalimbali, kati ya milioni 60 zinazohitajika Na Mrisho Sadick: Zahanati ya Buseresere Wilayani Chato inahitaji jumla ya shilingi milioni 60 ili kukamilisha ujenzi wa jengo la mama…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.