Storm FM

Recent posts

11 March 2022, 5:38 pm

Mkuu wa mkoa wa Geita akagua miradi Nzera.

Na Zubeda Handrish: Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamule leo March 10, 2022 amefanya ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo ikiwamo ya Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Nzera-Nyanza Kupitia Fedha za Mradi wa Kuboresha Elimu SEQUIP iliyopo katika…

11 March 2022, 5:34 pm

Mradi wa magari ya umeme mbioni kuanza.

Na Joel Maduka: Imeelezwa kuwa, Kampuni ya Peak Resources Ngualla (PRNG) itakayo jihusisha na uchimbaji wa madini ya teknolojia ya Rare Earth Elements ipo katika hatua za mwisho za makubaliano na serikali ili ianze uchimbaji wa madini hayo. Hayo yamebainishwa…

3 January 2022, 10:50 am

Ajibu maswali na kushinda Fiesta kondom na tisheti.

Na Mrisho Sadick: Washindi wa kujibu maswali juu ya aina za kondom pamoja na matumizi yake sahihi wakikabidhiwa zawadi zao katika Bonanza la michezo mbalimbali la kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2022 lililodhaminiwa na Storm FM,  SML na Mcharo Entertainment katika…

3 January 2022, 10:42 am

Storm FM yafungua mwaka 2022 na Bonanza la michezo.

Na Zubeda Handrish: Kituo cha redio cha Storm FM kimeanza mwaka mpya wa 2022 kwa Bonanza la Michezo mbalimbali ikiwemo kukimbiza kuku, Mpira wa miguu, Kukimbia na yai kwenye kijiko ambalo na mingineyo, lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi…

23 September 2021, 6:19 pm

Watu wenye ulemavu bado wana changamoto.

Na Zubeda Handrish: Shirika lisilo la kiserikali la Internews Tanzania limetoa mafunzo maalumu ya siku mbili ili kuwajengea uwezo wanahabari wa Tanzania kuandika kwa usahihi habari za watu wenye ulemavu zenye mchango katika maendeleo ya watu wenye ulemavu. Mafunzo hayo…

22 September 2021, 4:29 pm

Waziri azindua maonesho ya nne Geita.

Na Mrisho Sadick: Serikali imeahidi kusimama na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wa madini ya dhahabu hapa nchini kutokana na Sekta hiyo kuendelea kuongeza Pato la taifa. Hayo yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kassim Majaliwa…

22 September 2021, 11:04 am

Shangwe zaendelea maonesho Geita.

Na Kale Chongela: Kikundi Cha Ngoma  kutoka Mkoa wa Mwanza  kikiendelea kutumbuiza katika Uwanja wa EPZ Bombambili mjini Geita, kwenye Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini ambayo leo tarehe 22 Septemba yatazinduliwa rasimi na Waziri…

22 September 2021, 10:45 am

Ufunguzi rasmi maonesho ya nne.

Na Mrisho Sadick: Burudani zikiendelea katika viwanja vya Uwekezaji EPZ mjini Geita ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anatarajia kuyazindua rasmi maonesho ya teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini hii leo.

22 September 2021, 9:39 am

Aomba vifaa vya masomo.

Gideon Moses ni Kijana mwenye ulemavu wa viungo vya mwili ambaye anakula chakula kwa kutumia miguu ambaye anaishi Mtaa wa #Mwatulole pamoja na wazazi wake. Mwenyekiti wa mtaa wa #Mwatulole Bw. Noel Ndasa amekiri kuwepo kwa mtoto huyo katika eneo lake na kwamba mara…

17 September 2021, 5:37 pm

Mbwa tishio Shilabela.

Na Zubeda Handrish: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu 8 wameng’atwa na mbwa katika mtaa wa Shilabela mjini Geita ikielezwa kuwa ni mbwa wenye kichaa. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Fredrick Masalu baada ya wahanga kufika ofisini kwake ili kuweza kupata…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.