Storm FM
Storm FM
3 January 2022, 10:50 am
Na Mrisho Sadick: Washindi wa kujibu maswali juu ya aina za kondom pamoja na matumizi yake sahihi wakikabidhiwa zawadi zao katika Bonanza la michezo mbalimbali la kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2022 lililodhaminiwa na Storm FM, SML na Mcharo Entertainment katika…
3 January 2022, 10:42 am
Na Zubeda Handrish: Kituo cha redio cha Storm FM kimeanza mwaka mpya wa 2022 kwa Bonanza la Michezo mbalimbali ikiwemo kukimbiza kuku, Mpira wa miguu, Kukimbia na yai kwenye kijiko ambalo na mingineyo, lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi…
23 September 2021, 6:19 pm
Na Zubeda Handrish: Shirika lisilo la kiserikali la Internews Tanzania limetoa mafunzo maalumu ya siku mbili ili kuwajengea uwezo wanahabari wa Tanzania kuandika kwa usahihi habari za watu wenye ulemavu zenye mchango katika maendeleo ya watu wenye ulemavu. Mafunzo hayo…
22 September 2021, 4:29 pm
Na Mrisho Sadick: Serikali imeahidi kusimama na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wa madini ya dhahabu hapa nchini kutokana na Sekta hiyo kuendelea kuongeza Pato la taifa. Hayo yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kassim Majaliwa…
22 September 2021, 11:04 am
Na Kale Chongela: Kikundi Cha Ngoma kutoka Mkoa wa Mwanza kikiendelea kutumbuiza katika Uwanja wa EPZ Bombambili mjini Geita, kwenye Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini ambayo leo tarehe 22 Septemba yatazinduliwa rasimi na Waziri…
22 September 2021, 10:45 am
Na Mrisho Sadick: Burudani zikiendelea katika viwanja vya Uwekezaji EPZ mjini Geita ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anatarajia kuyazindua rasmi maonesho ya teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini hii leo.
22 September 2021, 9:39 am
Gideon Moses ni Kijana mwenye ulemavu wa viungo vya mwili ambaye anakula chakula kwa kutumia miguu ambaye anaishi Mtaa wa #Mwatulole pamoja na wazazi wake. Mwenyekiti wa mtaa wa #Mwatulole Bw. Noel Ndasa amekiri kuwepo kwa mtoto huyo katika eneo lake na kwamba mara…
17 September 2021, 5:37 pm
Na Zubeda Handrish: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu 8 wameng’atwa na mbwa katika mtaa wa Shilabela mjini Geita ikielezwa kuwa ni mbwa wenye kichaa. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Fredrick Masalu baada ya wahanga kufika ofisini kwake ili kuweza kupata…
17 September 2021, 2:20 pm
Na Ester Mabula: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imewataka wachimbaji kutumia Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini kujifunza teknolojia mbalimbali zilizopo kwenye maonesho yaliyoanza leo Mkoani Geita. Wito huo umetolewa leo…
16 September 2021, 5:23 pm
Na Kale Chongela: Hatimaye siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa imetimia ambapo leo Septemba 16, 2021 yanaanza maonesho ya nne ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini mkoani Geita. Kauli mbiu katika maonesho hayo kwa mwaka huu ni “Sekta ya Madini Kwa…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.