Storm FM

Recent posts

4 July 2023, 2:49 pm

Makala: Unafahamu taratibu za kufuata kisheria unapomdai mtu?

Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu taratibu za kufuata kisheria pindi unapomdai mtu. Sambamba na hilo Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi…

4 July 2023, 11:02 am

Wakuu wa idara wazembe Chato kuchukuliwa hatua

Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wamekuwa na kasumba ya kutohudhuria vikao vya baraza la madiwani jambo ambalo limemsukuma Mkuu wa Mkoa kutoa maagizo. Na Zubeda Handrish -Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela ameagiza kuchukuliwa…

3 July 2023, 12:23 pm

Huduma usafiri wa dharura kwa wajawazito yazinduliwa Geita

Tatizo la vifo vya wanawake wajawazito na watoto mkoani Geita bado ni kubwa na kutokana na changamoto hiyo serikali imekuja na njia mbadala ya kupunguza tatizo hilo. Na Mrisho Sadick – Geita Serikali imetenga kiasi cha shilingi milioni 218 kwa…

3 July 2023, 11:43 am

TRA kuendeleza ushirikiano kwa wanahabari

Na Mrisho Sadick Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na vyombo vya habari kufikisha elimu ya mlipa kodi kwa kuwa idadi kubwa ya wafanyabiashara hususani maeneo ya vijijini hawafikiwi na elimu hiyo mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa…

28 June 2023, 12:42 pm

Idadi ya watalii wa ndani yaongezeka

Na: Kale Chongela: Idadi ya watalii wazawa katika Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato imeendelea kuongezeka kutokana na hamasa inayoendelea kutolewa kwa wananchi  ikiwemo filamu ya Royal Tour ambayo imekuwa na msukumo mkubwa kwa wakazi wanaozunguka hifadhi hiyo kutembelea kujionea…

22 June 2023, 12:53 pm

Wafanyakizi Storm FM wafika bungeni Dodoma

Na Mrisho Sadick: Baadhi ya Wafanyakazi wa Storm FM Redio (Sauti ya Geita) leo Juni 22,2023 wametembelea Bungeni Jijini Dodoma kushuhudia uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kibunge kwa mwaliko wa Mbubge wa Jimbo la Geita mjini Mhe Constantine Kanyasu. Wafanyakazi…

22 June 2023, 8:29 am

Ugonjwa wa ajabu wamtesa Fikiri anaomba msaada wa Matibabu

Na Zubeda Handrish: Fikiri Manyilizu mwenye umri wa miaka (31) Mkazi wa Muleba Mkoani Kagera amemuomba Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu msaada wa matibabu baada ya kuugua ugonjwa wa ajabu ambao umemsumbua kwa muda mrefu. Fikiri anasema katika familia…

27 May 2023, 12:20 pm

Na Mrisho Sadick: Kufuatia Kampeni ya “TUMUWEZESHE” Iliyoratibiwa na Storm FM kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuchangia taulo za kike hatimaye zoezi hilo limefanikiwa kwa kutembelea nakutoa taulo hizo kwa wanafunzi wa kike katika baadhi ya shule zilizopo katika Halmashauri…

4 May 2023, 8:42 am

Wajasiriamali zaidi ya 100 wapata hasara.

Na Kale Chongela: Zaidi ya Wajasiriamali 100 waliopo njia panda mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilaya ya Geita  na mkoani Geita wameacha biashara hiyo kutokana na mzunguko kuwa mdogo. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa umoja wa wajasiriamali waliopo katika…

6 January 2023, 10:03 am

Kichanga cha siku 2 chakutwa kimefariki katika dampo la uchafu.

Na Kale Chongela: Katika hali ya kusikitisha  kichanga kilichokadiliwa kuwa na siku mbili  kimekutwa kimefariki dunia katika  dampo la uchafu lililopo katika uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita. Kaimu kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokaji  mkoani Geita Inspekta Edward…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.