Storm FM

Recent posts

1 September 2023, 4:51 pm

Serikali yavuna zaidi ya bilioni 118 soko kuu la dhahabu Geita

Kuanza kutumika kwa kanuni za masoko ya madini za mwaka 2019 chini ya sheria ya madini sura ya 123 zimekuwa na manufaa makubwa kwa serikali na Wananchi wanaofanya shughuli za uchimbaji wa madini ya Dhahabu Mkoani Geita. Na Mrisho Sadick:…

1 September 2023, 4:25 pm

Idara ya mazingira Geita yaja na mikakati ya kudhibiti taka

Uchafuzi wa mazingira na utupaji taka hovyo katika halmashauri ya mji wa Geita ambapo ndio kitovu cha mkoa, umepelekea idara ya mazingira kuja na mpango mkakati kudhibiti uchafuzi huo. Na Kale Chongela- Geita Idara ya Mazingira halmashauri ya mji wa…

31 August 2023, 10:21 pm

Wafugaji watakiwa kunenepesha mifugo

Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho, haitoshi kuwa na ng’ombe mwenye afya nzuri na maziwa ya kutosha, hili limemuinua Afisa Mifugo na kutoa elimu kwa wafugaji. Na Kale Chongela- Geita Wafugaji wa ng’ombe mjini Geita wametakiwa kuipatia mifugo…

30 August 2023, 12:49 pm

Auawa akidaiwa shilingi elfu 5 Geita

Matukio ya vijana kudhuriana wao kwa wao kwasababu ya pesa yanaongezeka siku hadi siku, hiyo imepelekea ACP Safia Jondo kuwashauri wazazi kufuatilia mienendo ya vijana wao na watu wao wa karibu. Na Amon Bebe- Geita Kijana mmoja mkazi wa mtaa…

29 August 2023, 11:08 am

Shule ya kwanza yenye kidato cha tano Mbogwe yaanza kupokea wanafunzi

Wazazi na walezi wenye wanafunzi wa kidato cha tano waliopangiwa katika shule ya sekondari Mbogwe Mkoani Geita wawaruhusu kwenda shule kwani idadi ya wanafunzi walioripoti ni ndogo. Na Mrisho Sadick: Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa…

28 August 2023, 1:52 pm

Busanda waomba vituo vya kuchotea maji viongezwe

Serikali kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini RUWASA imeendelea kusogeza huduma hiyo hadi maeneo ya vijijini ambayo yalikuwa yakikabiliwa na changamoto ya maji safi. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Busanda wilayani Geita wameiomba serikali…

28 August 2023, 1:34 pm

Wafugaji wa Nyuki Geita watakiwa kufuga kisasa

Ufugaji wa Nyuki umeendelea kuongezeka kwa kasi Mkoani Geita na maeneo mbalimbali huku idadi kubwa ya watu wanaoingia kwenye ufugaji huo wakiwa hawajui kanuni za ufugaji. Na Kale Chongela: Wafugaji wa Nyuki katika Kata ya Buhalahala wilayani Geita Mkoani Geita…

28 August 2023, 9:07 am

Wananchi zaidi ya laki 6 wanufaika na mradi wa maji Geita

Changamoto ya kupatikana kwa maji safi na salama vijijini, imechangia kwa kiasi kikubwa mradi wa maji wa miji 28 kuanzishwa.Na Adelina Ukugani- GeitaJumla ya wakazi laki sita na thelathini na nane mia tatu na ishirini na  mbili (638,322 ) wanatarajia…

27 August 2023, 12:33 pm

Wananchi mamlaka ya mji mdogo Katoro walia na TARURA

Changamoto ya barabara za mitaa katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro imekuwa ya muda mrefu kiasi cha wananchi wa eneo hilo kuibuka tena na kutoa ya moyoni. Na Zubeda Handrish- Geita Baadhi ya wananchi wa kata ya Ludete katika…

25 August 2023, 9:08 am

Bei ya nafaka yapanda Geita

Kupanda kwa bei ya nafaka imechangia kupungua kwa kasi ya biashara katika soko la Nyankumbu mjini Geita.Na Adelina Ukugani- Geita Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la asubuhi la Nyankumbu mjini Geita wamelalamikia kupanda kwa bei ya mazao hayo hali inayochangia…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.