Mazingira FM
Mazingira FM
10 May 2021, 8:23 am
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA AKIHAMASISHA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA WANYAMA PORI YA SERENGETI Hayo yamefanyika leo katika bonanza la michezo la Twende Kutalii Serengeti lililoandaliwa na TANAPA kwa kushirikiana na wadau wa utalii #Twendekutalii pamoja na #Mazingirafm katika viwanja…
27 April 2021, 6:05 am
Diwani wa kata ya bunda stoo Flaviani Chacha amewapongeza wadau wa maendeleo kwa kuendelea kujitolea katika kuisaidia serikali kutatua kero za wananchi Akizungumza na Redio Mazingira Fm April ,22/ 2021 Flavian amesema amepokea shilingi milion 80 kutoka kwa wadau wa…
20 April 2021, 12:26 pm
Mwenyekiti wa wajasiliamali mkoa wa Mara ndugu Charles Waitara amewataka wajasiliamali wote mkoa wa Mara kutojihusisha na kuwaajiri watoto katika maeneo ya biashara Kauli hiyo ameitoa April 19 2021 katika mkutano wa hadhara na wajasiliamali eneo la balili kona, lakini…
20 April 2021, 11:31 am
Diwani wa kata ya Nyasura Magigi Samwel Kiboko amewataka wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini yaani TASAF kutumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa. akizungumza na Mazingira kwenye ofisi ya mtendaji kata ya Nyasura Kiboko amesema kwa upande wa wale…
17 April 2021, 5:26 pm
MARA: APRILI 17, 2021 NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, amemtaka mkandarasi wa kampuni ya M/S Beijing Construction Engineering Group Company Limited, kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kwa wakati mradi wa upanuzi wa kiwanja cha ndege…
16 April 2021, 7:25 pm
Mkuu wa wilaya ya Bunda Mwl Lydia Bupilipili amewapongeza wakulima wa zao la Pamba wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa kuzingatia kilimo bora na chenye tija. Dc Bupilipili ametoa pongezi hizo leo tarehe 15 mwezi wa 4 alipofanya ziara ya…
16 April 2021, 6:54 pm
Mwenyekiti wa wajasiliamali mkoa wa mara Charles Waitara amewashukuru Mbunge wa Bunda Mjini Robert chacha maboto, Diwani wa Bunda Mjini pamoja na Mkurungenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kuadhimia kujenga choo eneo la genge la jioni Waitara ameyasema…
15 April 2021, 10:35 am
Mheshimiwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mwal Lydia Bupilipili amewataka wananchi kuendelea kujenga tabia ya kufanya usafi katika maeneo yao na siyo mpaka wasubiri kusukumwa ama kusubili mashindano. Rai hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake…
14 April 2021, 8:09 am
Katika mila za kikurya, kizanaki na kiikizu mkoani Mara moja ya Mila yao kubwa ilikuwa ni ukeketaji huku sababu kuu ikielezwa kuwa ni kutengeneza nidhamu miongoni mwa wanawake huku bila kutathmini madhara yanayoweza kujitokeza kwa wanawake pindi wanapofanyiwa kitendo hicho cha…
8 April 2021, 4:52 pm
Moja kati ya mila na desturi za Wakurya mkoani Mara ilikuwa ni ukeketaji kwa kiasi kikubwa madhara ya ukeketaji yalikuwa hayafichuliwi kutokana unyeti wa suala hilo. Rhoda Komanchi mkazi wa Bunda Balili anaeleza kuhusu hatari iliyotokea kwa watoto wake wawili…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com