Mazingira FM
Mazingira FM
10 September 2021, 8:09 pm
by Adelinus Banenwa Mwandishi na mtangazaji wa redio mazingira fm Thomas Masalu ametwaa Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT)2020 katika kipengele cha habari za Utalii na uhifadhi. akizungumza na mazingira baada ya kutangazwa mshindi thomas amesema Washindi…
10 September 2021, 10:12 am
By Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini Mh Robert Chacha Mabotto amewataka wananchi wa jimbo hilo kuendelea kuwa wavumilivu kwenye suala la mradi wa maji kwa kuwa bado anazidi kulipigania Akizungumza na Radio Mazingira FM kwa njia ya…
6 September 2021, 4:43 pm
By Adelinus Banenwa Kwandu Mtorogo (67) mkazi wa mtaa wa butakare kata ya bunda stoo wilayani bunda amepoteza maisha kwa kukanyagwa na tembo wakati anatoka kusenya kuni Tukio hilo limetokea leo sept 5, 2021 ambapo kwa mujibu wa mashuuda wamesema…
2 September 2021, 7:55 pm
By Hawa Mbulula Katibu tawala wa wilaya ya bunda Salum Mtelela ametoa wito kwa wananchi wote wa bunda kwa ujumla kuwa tarehe 4/9/2021 siku ya jumamosi ni siku ya usafiĀ mkoa wa mara Mteela ameyasema hayo leo sept 2 ,2021…
2 September 2021, 8:56 am
By Adelinus Banenwa Umoja wa watumishi Makada wilaya ya Bunda mkoani Mara,leo umefanya sherehe ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Bunda mwalimu Lydia Bupilipili na kumkaribisha mkuu wa wilaya ya Bunda Mheshimiwa Joshua Nasarr. Akizungumza wakati wa kufungua sherehe…
2 September 2021, 8:17 am
Tuzo hizo zinazoandaliwa na baraza la habari Tanzania MCT, ndiyo tuzo kubwa zaidi za uandishi wa habari nchini, zinazopimwa kwa kushindanisha kazi Bora zilizowahi kuripotiwa nchini katika kipindi cha mwaka mzima. Thomas Masalu Mtangazaji na mwandishi wa Habari kutoka radio…
6 July 2021, 6:35 pm
By Adelinus Banenwa Wananchi wa mtaa wa Migungani kata ya Bunda stoo Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali kuhamisha dampo la Migungani kutokana na kero kubwa wanazozipata Hayo wameyasema leo july 5, katika eneo la dampo la maji taka…
3 July 2021, 3:33 pm
By Adelinus Banenwa Katibu wa Umoja wa Vijana UVCCM mkoa wa Mara Wambula Peresia amesema niwajibu wa madiwani na wabunge kuwawezesha Vijana hasa kwenye kuandaa mabaraza ya Wilaya Hayo ameyasema leo July 3, 2021 kwenye baraza la Vijana UVCCM Wilaya…
2 July 2021, 1:15 pm
by Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Neruma Mh. Alfred Maungo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi Akizungumza na Mazingira fm Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mh. Charles ManunbuĀ amethibitisha kifo cha diwani huyo huku taarifa…
22 June 2021, 6:39 am
By Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mh Joshua Nassar Leo June 21, 2021 amekabidhiwa ofisi na Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Bunda Mwl Lydia Bupilipili ambaye amestaafu Akizungumza katika makabidhiano hayo Mh Nassar Amewataka wanabunda wote kuwa wamoja…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com