Mazingira FM
Mazingira FM
17 November 2022, 9:36 pm
Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa uamzi rasmi wa kulitwaa eneo la kata ya Nyatwali kwa matumizi ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Uamuzi huo umetolewa na katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela katika mkutano wa baraza…
17 November 2022, 9:31 pm
Viongozi wa Kata ya Balili Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara wakerwa na uharibifu wa taa za barabarani unaoendelea kujitokeza katika eneo la Balili. Wakizungumza na Radio Mazingira Fm kwa nyakati tofauti viongozi hao wamesema baadhi ya wananchi wasiokuwa…
11 November 2022, 1:48 pm
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda Magafu Manumbu ameagiza utekelezaji wa ujenzi wa madarasa ya Sekondari uende haraka na kama Kuna changamoto zozoto waseme haraka ili ndani ya mwezi December ujenzi uweze kukamilika. Manumbu ameyasema hayo katika Kikao Cha…
11 November 2022, 9:13 am
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Yusuph Yohana Marwa umri miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Guta na mkazi wa mtaa wa nyabehu kata ya Guta halmashauri ya Mji wa Bunda amepoteza maisha baada ya…
2 November 2022, 8:16 pm
Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Joshua Nassari amewataka viongozi wa halmashauri ya wilaya ya bunda kujitathimini kutokana na usimamizi duni wa miradi ya maendeleo katika halmashauri hiyo. Mhe Nassar ameyasema hayo leo Nov 2 katika ziara yake wakati akikagua…
2 November 2022, 7:42 pm
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Joshua Nassar ameagiza uongozi wa kata ya Nyamang’uta kufika ofisini kwake ili kutoa maelezo kwa nini hadi sasa hawajaanza ujenzi wa darasa hata Moja Kati ya Madarasa Saba yanayotakiwa kujengwa kutokana na…
29 October 2022, 8:49 pm
Wakazi wa kata ya a kabarimu halmashauri ya mji wa bunda Wameitaka serikali kuliondoa dampo la taka lililopo katika mtaa wa saranga mjini Bunda Wakizungumza katika kikao Cha kata kuhusu Maendeleo kilichitishwa na Diwani wa kata hiyo Mhe Muhunda Nyaimbo…
28 October 2022, 4:43 pm
Changamoto ya uzio, maktaba, upungufuwa walimu wa sayansi na maji bado ni changamoto inayoikabili shule ya Sekondari Bunda day iliyoko kata ya kabarimu Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara. Hayo yamebainishwa katika maafali ya wahitimu wa kidato Cha Nne…
22 October 2022, 8:33 pm
Katibu tawala wilaya ya bunda salumu halfan mterela amewataka viongozi wa vijiji na mitaa kuhamasisha wananchi kujitokeza katika kampeni ya siku kumi ya kuhamasisha chanjo ya uviko 19 Akizungumza katika kikao kilichoshirikisha idara ya afya na wenyeviti…
22 October 2022, 8:28 pm
Sikika kwa kushirikiana TAKUKURU wilayani Bunda wameendesha mafunzo kwa kamati za ujenzi na mapokezi kwa lengo la kuzuia masuala ya rushwa wakati wa kutekeleza majukumu yao. Mafunzo hayo yamefanyika wilayani Bunda ambapo Sikika kwa kushirikiana na TAKUKURU chini ya mpango…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com