Mazingira FM
Mazingira FM
4 March 2023, 6:57 pm
Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara walia na mpango wa wanufaika wa TASAF kufanyishwa shughuli za kulima barabara ndipo wapewe fedha zao. Wakizungumza katika Baraza la Madiwani mkutano wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023 uliofanyika…
3 March 2023, 2:39 pm
Zaidi ya watu 7,000 ambao ni wastani wa kaya 1000 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Misisi-Zanzibar katika Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara. Hayo yamebainishwa na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Maji Bunda BUWASA, Esther Gilyoma wakati…
3 March 2023, 2:37 pm
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara, limehitimisha mjadala juu ya eneo la uwekezaji la Landmasters kwa maelekezo ya kamati kukaa na kwenda na mapendekezo ambayo yatawawezesha kufanya maamuzi. Uelekeo huo umetolewa tarehe 2 March 2023 katika…
3 March 2023, 2:05 pm
Wakaazi wa Kijiji Cha Nyamuswa Kata ya Nyamuswa Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia vitendo vya kuingiliwa kingono wakati wamelala jambo linaloleta taharuki kwa wananchi Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakazi hao wamesema licha ya vitendo hivyo kukemewa na…
1 March 2023, 4:38 pm
Meneja wa RUWASA wilaya ya Bunda Mhandisi William Boniphas amesema ifikapo 2025 wilaya ya Bunda itakuwa imefikia 85% ya upatikanaji wa maji vijijini kama inavyoelekeza ilani ya CCM ya 2020 na 2025 Hayo ameyasema ofisini kwake wakati akizungumza na Mazingira…
1 March 2023, 3:48 pm
Wakaazi wa Kisangwa kata ya Mcharo Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara wamelalamikia ukosefu wa huduma ya choo katika mnada wa Kisangwa jambo linalohatarisha usalama wa afya zao. Wakizungumza na Radio Mazingira Fm wamesema kukosekana kwa usimamizi katika choo…
26 February 2023, 11:30 am
Jamii imeaswa kuendelea kusikiliza vyombo vya habari ili kujiimarisha zaidi katika matumizi ya lugha ya kiswahili na kuifanya lugha hiyo iendelee kukua na kuenea katika maeneo mbalimbali duniani. Wito huo umetolewa leo tarehe 24 FeB 2023 kupitia Ziara ya Wanafunzi…
26 February 2023, 11:20 am
MBUNGE WA JIMBO la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Mabotto ameitaka serikali isione haya kuwalipa wakazi wa nyatwali stahiki zao kwa kuwa siyo wavamizi. Akizungumza katika kikao cha wananchi kilichoitishwa na mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano…
24 February 2023, 9:07 am
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Bunda, Gasper CharlesĀ amewahasa wananchi kuendelea kuisikiliza Radio Mazingira Fm kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali. Wito huo ameutoa leo tarehe 23 Feb 2023 wakati alipotembelea ofisi za Radio Mazingira…
23 February 2023, 9:24 pm
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amesema hataki kuongoza Wilaya ambayo watu wake Wana njaa Kauli hiyo ameitoa kwenye kikao Cha Baraza maalumu la madiwani lililoketi Juma hili kulijadili zoezi la Nyatwali Amesema katika maeneo mengi ya…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com