Storm FM
Storm FM
5 November 2024, 12:16 pm
Miundombinu ya barabara kwa baadhi ya maeneo mkoani Geita imeendelea kuwa na changamoto hali ambayo inapelekea adha kwa watumiaji wa barabara husika. Na: Kale Chongela – Geita Madereva wanaotumia barabara ya kutoka mjini Geita hadi Nzera wamedai kukabiliwa na changamoto…
4 November 2024, 12:54 pm
Wivu wa mapenzi umeendelea kusababisha vifo kutokana na maamuzi ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Kijana Faida Deusi anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25-35 mkazi wa kijiji cha Bugalama kata…
25 October 2024, 1:58 am
Leo ni siku tano tangu kukamilika kwa zoezi la uandikishaji katika daftari la makazi kwaajili ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji unaotarajia kufanyika Novemba 27, 2024. Na: Edga Rwenduru – Geita Chama cha demokrasia na maendeleo…
24 October 2024, 1:27 am
Baada ya zahanati iliyojengwa kwa nguvu za wananchi kukamilika na kuanza kutoa huduma, wakazi wa kijiji cha Lubanda kata ya Busanda halmashauri ya wilaya ya Geita waeleza namna walivyonufaika na uwepo wa zahanati hiyo. Na: Ester Mabula – Geita Karibu…
23 October 2024, 3:57 pm
Umeme vijijini umekuwa chachu na mabadiliko ya haraka kwa uchumi wa wananchi huku serikali ikiahidi kufikisha huduma hiyo kila kitongoji. Na Mrisho Sadick: Wakala wa nishati vijijini (REA) umeanza Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa…
23 October 2024, 9:57 am
Karibu katika makala fupi inayoangazia namna wanawake mkoani Geita walivyochangamkia fursa ya uchimbaji wa madini ya dhahabu. Makala hii imeandaliwa na mwandishi wetu Daniel Magwina. Bonyeza hapa kusikiliza
23 October 2024, 2:14 am
Wakazi wa mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu, halmashauri ya mji wa Geita, wameeleza kukumbwa na ukosefu wa maji kwa muda wa zaidi ya wiki mbili sasa Na: Amon Mwakalobo – Geita Kufuatia changamoto ya ukosefu wa maji kwa wakazi…
23 October 2024, 1:54 am
Zao la nyanya ni miongoni mwa mazao muhimu ya kilimo nchini Tanzania, likiwa na umuhimu mkubwa katika chakula na biashara. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wauzaji wa nyanya katika soko la asubuhi Nyankumbu katika halmashauri ya mji wa…
22 October 2024, 9:59 pm
Serikali imeendelea kuweka nguvu kwa wanawake wanaofanya shughuli katika migodi ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ili kuwainua kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani ametoa kiasi cha shilingi milioni 50 kwa…
22 October 2024, 5:38 pm
GGML imeendelea kushirikiana na serikali katika kufadhili shughuli mbalimbali za maendeleo mkoani Geita ikiwa ni ajenda yao ya kunufaisha Jamii inayozunguka mgodi huo. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imekabidhi pikipiki 50 kwa Jeshi…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.