Storm FM
Storm FM
28 November 2024, 10:15 am
Mwili wa mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Tumaini umekutwa mlangoni kwa jirani yake huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aliyejulikana kwa jina moja…
27 November 2024, 12:25 pm
Leo Novemba 27, 2024 wananchi Tanzania bara wanashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwaajili ya kuchagua viongozi wa mitaa, vitongoji na vijiji ambao watawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano. Na: Ester Mabula – Geita Zaidi ya wananchi milioni 1…
27 November 2024, 10:39 am
Leo Novemba 27, 2024 wananchi nchini Tanzania wanashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwaajili ya kuchagua viongozi wa mitaa, vitongoji na vijiji ambao watawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano. Na: Ester Mabula – Geita Baada ya mabadiliko ya kikatiba…
26 November 2024, 4:43 pm
Mikopo ya asilimia 10 ambayo imeendelea kutolewa na serikali ya Tanzania imeendelea kunufaisha watu mbalimbali katika makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kupitia miradi mbalimbali wanayoifanya. Na: Kale Chongela – Geita Jumla ya vikundi 81 kutoka katika kata…
23 November 2024, 10:59 am
Watu wenye ulemavu, wanawake na vijana wametakiwa kuhamasika kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ili kutimiza haki yao ya msingi ya kikatiba. Na: Ester Mabula – Geita Sikiliza simulizi ya Bi. Zainabu John (39) mwanamke mwenye ulemavu ambaye anaeleza…
20 November 2024, 9:14 pm
Halmashauri ya mji wa Geita imeendelea kukumbwa na majanga baada ya siku chache kupatwa na mafuriko sasa upepo mkali waezua nyumba. Na Kale Chongela: Mvua iliyoambatana na upepo Mkali imeezua jengo la ukumbi wa mpira na vibanda vinne vya wafanyabiashara …
19 November 2024, 8:33 pm
Nguvu ya umma imeendelea kurejesha tabasamu kwa Annastazia aliekata tamaa ya maisha nakutamani afe baada ya kuvunjika uti wa mgogo wakati akichuma maembe juu ya mti Na Mrisho Sadick: Annastazia Jackobo mkazi wa kijiji cha Inyala Kata ya Nyamigota wilayani…
19 November 2024, 12:01 pm
Baada ya mchakato wa kuwasilisha rufaa kupinga kuenguliwa kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa hatimae mbivu na mbichi zimejulikna Na Edga Rwenduru: Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Geita mjini Yefred Myenzi amesema walipokea jumla ya…
19 November 2024, 10:53 am
Vilio vya wananchi kwa serikali juu ya kuongezeka kwa wimbi la vijana wezi katika mtaa wa Ibolelo Mwabasabi Kata ya Nyankumbu mjini Geita. Na Kale Chongela: Wakazi wa Nyamakale Mtaa wa Ibolelo maarufu kwa jina la Mwabasabi Kata ya Nyankumbu…
18 November 2024, 6:16 pm
Katika jamii hususani mikoa ya kanda ya ziwa bado kuna changamoto ya watoto wenye ulemavu kuendelea kufichwa huku imani potofu ikitajwa kuwa sababu. Na Mrisho Sadick: Kanisa Katoliki Jimbo la Geita kwa kushirikiana na mgodi wa GGML limefanikiwa kuwaibua watoto…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.