Storm FM

Recent posts

14 November 2024, 12:24 pm

Kero ya stendi Geita kujaa maji yatua baraza la madiwani

Uduni wa miundombinu umetajwa kuwa changamoto ya kituo kikuu cha mabasi ya abiria mjini Geita kuzingirwa na maji kila msimu wa mvua huku mikakati ya kutatua changamo hiyo ikiwekwa. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya mji wa Geita kukumbwa…

14 November 2024, 10:16 am

Jaketi chafu la dereva pikipiki egesho la Mpomvu lachomwa moto

Madereva pikipiki mkoa wa Geita wameendelea kusisitizwa kuzingatia usafi hali ambayo inapelekea baadhi ya maegesho kuweka sheria ndogo ndogo ili kuzingatia hilo. Na: Kale Chongela – Geita Madereva pikipiki waliopo katika egesho la Mpomvu A kata ya Mtakuja halmashauri ya…

12 November 2024, 7:31 pm

Watendaji watumiwa meseji za vitisho Geita

Joto la uchaguzi wa serikali za mitaa linaendelea kupanda kadri siku zinavyozidi kusogea ambapo katika halmashauri ya mji wa Geita kumedaiwa uwepo wa vitisho kwa watendaji. Na Mrisho Sadick: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita mjini Yefred Myenzi amekemea vikali…

12 November 2024, 7:30 pm

Baraza la madiwani Geita lasimama dakika 1 kumpongeza mbunge Kanyasu

Msukumo alioufanya mbunge wa Jimbo la Geita mjini kwa serikali juu ya usambazaji wa umeme katika eneo hilo umewakosha madiwani nakulazimika kumpongeza. Na Mrisho Sadick: Baraza la madiwani la Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita limesimama kwa dakika moja…

12 November 2024, 3:28 pm

Wananchi 226 walipwa fidia wilayani Nyang’hwale

Jumla ya wananchi 226 katika kata ya Mwingiro  wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita wamelipwa fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 7.2  kutokana na maeneo yao kuchukuliwa na Mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa zaidi ya miaka 20 . Na: Kale Chongela – Geita…

11 November 2024, 1:33 pm

M-MAMA kusaidia wajawazito na watoto

Katika kuhakikisha mfumo wa M-MAMA unatoa huduma kwa tija, waandishi wa habari kutoka redio za kijamii kanda ya ziwa wamejengewa uwezo namna unavyofanyakazi ili kuwaambia wananchi. Na Daniel Magwina: Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba ametoa wito kwa…

11 November 2024, 1:08 pm

Huduma ya mifupa, ubongo na mishipa ya fahamu yazinduliwa Chato

Hospitali ya rufaa ya kanda Chato imeendelea kusogeza huduma za kibingwa ili kuwapunguzia mzigo wananchi wa kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma hizo. Na Edga Rwenduru: Kutokana na changamoto ya muda mrefu ya wananchi wa mkoani Geita na mikoa jirani kusafiri…

11 November 2024, 12:44 pm

MNEC Evarist atumia zaidi ya milio 600 kujenga ofisi za CCM Mbogwe

Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Mbogwe kimekamilisha ujenzi wa Ofisi 17 za kata wilayani humo nakwamba nguvu inahamia kwenye ngazi ya matawi. Na Mrisho Sadick: Zaidi ya milioni 600 zimetumika kujenga Ofisi za CCM katika Kata 17 za wilaya…

7 November 2024, 4:42 pm

Aliyeua kwenye fumanizi ashikiliwa na polisi Geita

Jamii mkoani Geita imeendelea kukumbushwa kuacha kujichukulia sheria mkononi ili kuepusha madhara yanayojitokeza ikiwemo vifo vya baadhi ya watu. Na: Evance Mlyakado – Geita Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo amethibitisha kukamatwa kwa Athuman Baseka (39)…

5 November 2024, 12:22 pm

Picha: Tazama mvua ilivyowasumbua wakazi wa Msalala road

Ni msimu wa masika ambapo mvua zinaendelea kunyesha kwa maeneo mbalimbali nchini. Na: Amon Mwakalobo – Geita Tazama hali ilivyo katika mtaa wa Msalala road barabara ya kuelekea Msufini karibu na egesho la bodaboda halmashauri ya mjinwa Geita baada ya…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.