Storm FM

Recent posts

3 June 2024, 1:20 pm

Watoto yatima wapatiwa msaada Nyangh’wale

Uhaba wa vifaa vya kujifunzia na mazingira duni ya kuishi bado ni kikwazo kwa watoto yatima na watoto waishio katika mazingira magumu. Na: Egda Rwenduru – Geita Kikundi cha Firidausi kinachoundwa na umoja wa vijana wa dini ya kiislamu wilaya…

30 May 2024, 11:15 am

RPC Geita akemea wanaume kupiga wake zao

Licha ya wadau, serikali na mashirika mbalimbali kukemea vitendo vya ukatili hususani kwa wanawake, bado baadhi ya wanaume katika kijiji cha Nyamtukuza wanaendeleza ukatili wa kupiga wake zao. Na: Evance Mlyakado – Geita Kufuatia kadhia hiyo, kamanda wa jeshi la…

30 May 2024, 10:21 am

Wananchi wachoshwa na ajali, waanzisha ujenzi wa shule Lumasa.

Licha ya serikali kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu katika maeneo mbalimbali nchini, bado baadhi ya vijiji vinakabiliwa na changamoto. Na: Evance Mlyakado – Geita Wakazi wa kijiji cha Ibondo kitongoji cha Lumasa kata ya Buseresere wilaya ya Chato mkoani Geita…

29 May 2024, 1:59 pm

Mgogoro wa ardhi chanzo ujenzi wa kanisa kusimama Geita

Migogoro ya ardhi hutajwa kupelekea changamoto mbalimbali ikiwemo kuvunjwa majengo, ujenzi kusimama na wakati mwingine watu hufikishana mahakamani ili kupata suluhu. Na: Kale Chongela – Geita Ujenzi uliokuwa ukiendelea wa kanisa la Pentekoste  FPCT mtaa wa Mbugani  kata ya Kalangalala…

27 May 2024, 3:31 pm

Wakazi wa Izunya wadai maji ya sumu yanaua mifugo, kuharibu mazao

Licha ya uwepo wa migodi ya uchimbaji wa madini katika maeneo mengi mkoani Geita lakini shughuli hizo zimekuwa mwiba mchungu kwa wakulima na wafugaji katika kata ya Izunya. Na Mrisho Sadick: Wakulima na wafugaji wa kijiji cha Mwamakiliga kata ya…

26 May 2024, 4:42 pm

Waziri Mkuu kutua Geita mwezi Juni

Ili kuongeza ufanisi na wigo katika ukusanyaji wa mapato serikali imeendelea kuanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kutengeneza walipa kodi wapya kupitia vituo hivyo. Na Mrisho Sadick: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa anatarajia…

24 May 2024, 1:45 pm

GGML inavyoshirikisha wazawa katika uchimbaji endelevu wa madini

Msukumo wa serikali wa kushirikisha wazawa katika mnyororo wa fursa kwenye sekta ya madini umezidi kuleta matokeo chanya kwa Watanzania kutokana na maboresho ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017/2018 na marekebisho yake yaliyofuata mwaka 2019. Na Gabriel Mushi Mkakati…

18 May 2024, 2:21 pm

DED, RMO, DC Geita waongoza mazoezi ya viungo

Wilaya ya Geita imeendelea na ufanyaji mazoezi ya viungo vya mwili tangu utaratibu huo ulivyoanzishwa na DC Hashim Komba yakiwakutanisha watu mbalimbali. Na: Juma Zacharia – Geita Mazoezi hayo yaliyopewa jina la “Geita Fitness Time” yameanzia Nyankumbu senta hadi uwanja…

18 May 2024, 12:21 pm

TANROADS Geita yatimiza ahadi Nyantorotoro

Ikiwa ni muda wa wiki moja sasa tangu wananchi wa Nyantorotoro A kuamua kufunga barabara kuu ili kushinikiza matengenezo ya barabara hiyo hatimaye TANROADS wafanya marekebisho. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa mtaa wa Nyantorontoro A ulipo kata ya…

17 May 2024, 10:16 am

Wadaiwa sugu wa pango la ardhi kufikishwa mahakamani Geita

Serikali mkoani Geita imekusudia kuwafikisha mahakamani wadaiwa sugu walioshindwa kulipa kodi ya pango la ardhi kwa hiari huku ikiwataka kulipa madeni yao ndani ya siku 30 ili kuepuka mkono wa sheria. Kauli hiyo imetolewa na kamishna msaidizi wa ardhi mkoa…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.