Storm FM
Storm FM
12 June 2024, 10:17 am
Jumuiya ya wazazi ya CCM ya wilaya ya Geita imeendelea na ziara ya kutembelea katika kata mbalimbali za wilaya hiyo ili kuzungumza na wanachama wake katika kuainisha na kutatua changamoto mbalimbali. Na: Evance Mlyakado – Geita Jumuiya ya wazazi wilaya…
10 June 2024, 3:51 pm
Serikali imedhamiria katika uboreshaji wa miundombinu ya barabara ambazo zimeharibika kutokana na mvua zilizonyesha nchini ili kuweka urahisi kwa wananchi kutumia barabara hizo. Na: Edga Rwenduru – Geita Serikali imeanza mpango wa kujenga barabara ya Ushirombo-Nyikonga mpaka Katoro kwa kiwango…
10 June 2024, 3:34 pm
Matukio ya utapeli wa fedha yanaendelea kushamiri kwa sura tofauti tofauti licha ya jitihada za serikali kuendelea kuwabaini na kuwachukulia hatua watu wanaojihusisha na matukio hayo. Na: Evance Mlyakado – Geita Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina wala sehemu alipokuwa akitokea…
9 June 2024, 1:55 pm
Kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi zaidi ya 440 ambao wameshindwa kuripoti shule katika wilaya ya Bukombe serikali imeanza kutumia nguvu kuwatafuta popote walipo nakuwapeleka shule. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko ametoa maagizo ya watoto…
7 June 2024, 11:54 am
Uchimbaji mdogo wa madini kwenye maeneo yasiyo rasmi katika baadhi ya maeneo mkoani Geita bado ni kitendawili ambacho kinapelekea changamoto ikiwemo wachimbaji kupoteza maisha kutokana na ubovu wa miundombinu. Na: Edga Rwendru – Geita Watu wawili wamepoteza maisha baada ya…
7 June 2024, 11:15 am
Kuchelewa kwa utatuzi wa migogoro ya wananchi na TFS katika maeneo ya hifadhi imeendelea kuleta athari kwa baadhi ya wananchi ikiwemo vifo. Na Mrisho Sadick – Bukombe Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amewataka wakazi wa…
6 June 2024, 10:55 am
Utunzaji wa mazingira ni suala mtambuka kwani idadi kubwa ya wakazi wa Geita hawatambui umuhimu wa kutunza mazingira lakini wadau mbalimbali ikiwemo GGML wanaendelea kuondoa fikra hiyo. Na Gabriel Mushi – Geita Shughuli za uchimbaji madini hutakiwa kwenda sambamba na…
6 June 2024, 10:22 am
Msongo wa mawazo ni miongoni mwa sababu zinazotajwa katika baadhi ya matukio kuwa chanzo cha maamuzi yasiyo sahihi ambayo hufanywa na watu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Na: Amon Mwakalobo – Geita…
6 June 2024, 9:57 am
Serikali imeendelea kuimarisha utoaji chanjo kwa makundi mbalimbali ya watu katika jamii ikiwemo watoto chini ya umri wa miaka mitano ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na: Edga Rwenduru – Geita Watoto zaidi ya 55,000 wenye umri chini ya miaka 5…
5 June 2024, 11:29 am
TCRA kanda ya ziwa imeendelea kutembelea mikoa ya ukanda huo na kutoa elimu kwa waandishi wa habari kuendelea kuzingatia miiko ya habari na weledi katika kutoa taarifa. Na: Kale Chongela – Geita Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imewataka waandishi wa…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.