Storm FM

Recent posts

27 July 2024, 12:13 pm

Mameneja TANESCO kanda ya ziwa wakutanishwa

Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati nchini (EWURA)imewakutanisha mameneja wa TANESCO mikoa ya kanda ya ziwa kwaajili ya kujadili uboreshaji wa huduma. Na: Edga Rwenduru – Geita Kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakumba watumiaji wa nishati ya umeme ikiwemo kukatika…

27 July 2024, 11:57 am

Maajabu ya simu ya ZTE Blade A34 kutoka Tigo

Kampuni ya mawasiliano nchini Tigo imeendelea kuboresha huduma zake kwa kuwafikia watanzania zaidi ya milioni 20 ambao wanaendelea kunufaika na huduma zao. Na: Ester Mabula – Geita Meneja wa Tigo mkoa wa Geita Willington Byekwaso amesema Tigo imeendelea kutoa ofa…

25 July 2024, 10:49 am

Wezi wabomoa tofali na kuiba, wajenga upya Geita

Matukio ya baadhi ya watu kupora mali na kuiba yameendelea kuwa changamoto hususani kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wakiibiwa mali zao. Na: Amon Mwakalobo – Geita Watu wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni wezi wamebomoa kibanda cha biashara cha mkazi wa mtaa wa…

25 July 2024, 10:34 am

M/Kiti UVCCM wilaya ya Geita ahimiza vijana kujiandikisha

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Geita Manjale Magambo amewataka vijana kujitokeza katika kwenda kujiandikisha katika daftari la mpinga kura. Na: Kale Chongela – Geita Mwenyekiti wa UVCCM Manjale Magambo akiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 22,…

23 July 2024, 2:53 pm

Uchomaji taka kiholela wawaibua wakazi wa Mbugani na Msalala road

Suala la uchafuzi wa mazingira limeendelea kupigwa vita ili kuhakikisha kuwa Jamii inakuwa salama na kujiepusha na magonjwa ya mlipuko. Na: Amon Bebe – Geita Baadhi ya wananchi wa mitaa ya Mbugani na Msalala road halmashauri ya mji wa Geita…

23 July 2024, 7:51 am

Wakazi Nyantorotoro waibuka na jipya baada ya barabara kutengenezwa

Mnamo mwezi Mei mwaka huu wakazi wa Nyantorotoro A walifunga barabara kuu ili kushinikiza matengenezo ya barabara hiyo kutokana na kuchoshwa na ajali za mara kwa mara eneo hilo. Na: Kale Chongela – Geita Baada ya TANROADS kufanya marekebisho ya…

23 July 2024, 7:33 am

GEUWASA, RUWASA zapewa maelekezo juu ya miradi ya maji

Wizara ya maji nchini imedhamiria kukamilisha miradi yote ya maji ambayo imeanzishwa ili wananchi wote wapate huduma ya maji safi na salama. Na: Kale Chongela -Geita Naibu waziri wa maji mhandisi Kundo Mathew ameutaka uongozi wa GEUWASA NA RUWASA kufanya…

20 July 2024, 10:32 am

Bodaboda mjini Geita watakiwa kuzingatia sheria

Usafiri wa pikipiki maarufu bodaboda umeendelea kurahisisha maisha ya watu ambapo umekuwa ukitumika mara nyingi na kutoa ajira kwa vijana wengi. Na: Kale Chongela – Geita Madereva pikipiki mjini Geita wametakiwa kuendelea kuzingatia taratibu ambazo wamekuwa wakipewa kwenye vikao vyao ili…

19 July 2024, 5:05 pm

Wakazi Narusunguti wilayani Bukombe wajengewa zahanati

Zaidi ya milioni 100 kutoka mfuko wa TASAF wilaya ya Bukombe zimesaidia ujenzi wa jengo la Zahanati ya kijiji cha Narusunguti kilichopo kata ya Busonzo hapa mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Ujenzi wa zahanati hiyo ni kufuatia adha…

19 July 2024, 4:51 pm

Mwanamke adaiwa kufariki katika egesho la bodaboda mjini Geita

Katika hali ya kushangaza Mwanamke mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia baada ya kuanguka ghafla katika egesho la waendesha pikipiki. Na: Edga Rwenduru – Geita Tukio hilo limetokea Julai 15, 2024 katika mtaa wa uwanja kata ya Nyankumbu…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.