Storm FM

Recent posts

6 August 2024, 12:13 pm

Mwitikio wa uchangiaji damu bado mdogo mjini Geita

Uhitaji wa damu salama katika hospitali ya halmashauri ya mji wa Geita bado ni mkubwa ukiliganisha na wahitaji kwani kwa siku hutumika unit 20 hadi 25. Na: Kale Chongela – Geita Mratibu wa kitengo cha damu salama katika hospitali hiyo…

6 August 2024, 11:58 am

Geita yaanza zoezi la uandikishaji wapiga kura

Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mkoa wa Geita umeanza zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura. Na: Kale Chongela – Geita  Zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa katika daftari la kudumu la mpiga…

2 August 2024, 2:20 am

Wadau wa kilimo wahimizwa kufanya tafiti zenye tija Geita

Dhana potofu kwa wakulima juu ya mbolea za viwandani imeendelea kukosesha wakulima fursa mbalimbali ikiwemo kupata mavuno mengi. Na: Evance Mlyakado – Geita Wadau wa kilimo mkoani Geita wametakiwa kufanya tafiti zenye kuleta tija ili kuwasaidia wakulima kukabiliana na changamoto…

1 August 2024, 3:08 am

GGML yawapiga msasa madereva wa serikali Geita

Kampuni ya GGML imeendelea kuiishi dhana ya kuwa usalama ni tunu namba moja inayoendesha shughuli zote za ndani na nje ya mgodi na hivyo kusaidia jamii kuwa na tabia chanya za kuzingatia usalama. Na: Evance Mlyakado – Geita Geita Gold…

1 August 2024, 2:42 am

TAKUKURU Geita kufanyia uchunguzi miradi yenye mapungufu

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Geita imeendelea kufanya uchunguzi wa miradi mbalimbali ili kubaini iwapo kuna ubadhirifu au ukamilifu wa miradi hiyo. Na: Kale Chongela – Geita Jumla ya kesi 19 za vitendo vya…

1 August 2024, 2:17 am

Wakazi Nyarugusu walalamika ujenzi wa barabara kusimama

Wakazi wa kata ya Nyarugusu Wilaya ya Geita wamelalamikia hali ya kusimama kwa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita moja. Na: Kale Chongela – Geita Malalamiko ya wanachi hao yamekuja kufuatia usumbufu ambao wananchi hao wanaeleza kuupata hususani watumiaji…

30 July 2024, 6:31 pm

Anusurika kichapo baada ya kukutwa na nguo aliyoiba

Licha ya Jeshi la polisi kuendelea kuzuia matukio ya kujichukulia sheria mkononi kwa kujeruhi watuhumiwa, bado wananchi wameendelea kujichukulia sheria mkononi. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwanaume mmoja mkazi wa Bomani, mtaa wa Katoma halmashauri ya mji wa Geita anayejulikana…

30 July 2024, 5:58 pm

Afariki dunia baada ya kujeruhiwa na kiboko

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyiri Katelezi (40) mkazi wa kijiji cha Nyandago kata ya Butundwe wilaya ya Geita mkoani Geita amefariki dunia baada ya kujeruhiwa vibaya na mnyama. Na: Edga Rwenduru – Geita Tukio la kujeruhiwa mwanaume hiyo…

27 July 2024, 12:54 pm

Mama anyonga mtoto wake hadi kufa Geita

Kwa mujibu wa Jeshi la polisi mkoa wa Geita kuanzia kipindi cha Januari hadi Juni mwaka huu 2024 yameripotiwa matukio 32 ya ukatili ambapo watuhumiwa 7 wamehukumiwa. Na: Mrisho Sadick – Geita Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Flora Mapolu…

27 July 2024, 12:30 pm

Walinzi wanyoshewa kidole sakata la wizi Shilabela

Baada ya tukio la wizi wa kubomoa na kuiba kisha kujenga upya lililotokea usiku wa kuamkia Julai 24, 2024 kaika mtaa wa Shilabela, mwenyekiti atupa lawama kwa walinzi. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Shilabela…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.