Storm FM
Storm FM
24 September 2024, 3:37 pm
Imeelezwa matukio ya ukatili ikiwemo vitendo vya ubakaji yameongezeka mkoani Geita kwa mwaka 2024 kufikia 91 kutoka 71 mwaka 2023. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi mkoani Geita wametakiwa kuendelea kutoa ushirikiano juu ya vitendo vya ukatili ikiwemo upakaji ili…
19 September 2024, 10:14 am
Inadaiwa uwepo wa taarifa za uongo juu ya matukio ya watoto kutekwa nakutolewa figo imeendelea kuleta taharuki katika jamii huku vyombo vya dola vikitakiwa kusimama kidete. Na Mrisho Sadick: Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Geita…
19 September 2024, 12:16 am
Pichani ni umati wa watu wakiwa eneo la tukio.picha na Kale chongela. Katika hali ya kushangaza dereva pikipiki na dereva baiskeli wamegongana na kusababisha watu wawili kunusurika na kifo wakiwa katika shughuli zao za kila siku za kusafirisha abiria. Na…
18 September 2024, 1:32 am
Pichani ni mufti mkuu akiwa na viongozi wa dini mkoa na viongozi wa GGML .Picha na Adelina ukugani Mufti na Sheikhe mkuu wa Tanzania amefanikiwa kutembelea mgodi wa GGML kwa mara ya kwanza uliopo mkoani Geita akiambatana na Viongozi mbalimbali…
16 September 2024, 6:12 pm
Kutokana na uwepo wa matukio ya watu kutekwa na wengine kuuawa makundi mbalimbali katika jamii yanalaani juu ya matukio hayo ikiwemo viongozi wa dini. Na Mrisho Sadick: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA limelaani vikali matukio ya utekaji na mauaji…
13 September 2024, 8:11 pm
Hatimae mwili wa Theresia John aliyeuawa katika vurugu za wananchi na jeshi la polisi Kata ya Lulembela wilayani Mbogwe Mkoani Geita umezikwa. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amewaonya wakazi wa Kata ya Lulembela wilayani Mbogwe…
12 September 2024, 8:07 pm
Akataa kuolewa baada ya mama mzazi kudaiwa kumlazimisha aolewe kwa nguvu , mama mzazi akanusha tuhuma hizo. Na kale chongela: Msichana mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani…
12 September 2024, 7:20 pm
Pichani ni Mama mzazi wa Teresa John binti aliyeuawa katika vurugu za polisi na wananchi. Picha na Evance Mlyakado. Vurugu za wananchi na polisi katika kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe zasababisha vifo vya watu wawili. Na Evance Mlyakado: Watu…
11 September 2024, 10:24 am
Changamoto ya taka Geita mjini bado ni kitendawili wananchi watajwa kuwa kikwazo kwa kushindwa kupeleka taka hizo sehemu husika. Na Amon Bebe: Licha ya uwepo wa gari linalopita mtaani kukusanya taka katika Halmashauri ya Mji wa Geita mkoani Geita baadhi…
10 September 2024, 9:19 pm
Baada ya kusota kwa miaka saba sasa wanafunzi wa darasa la saba wanakwenda kuhitimu elimu ya msingi kwa kufanya mtihani wa taifa. Na Eunice Mdui: Jumla ya watahiniwa 62,489 kutoka shule za msingi 719 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.