Storm FM
Storm FM
2 October 2024, 10:24 am
Mwenge wa uhuru unaendelea kutembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Geita tangu ulipopokelewa Septemba 30, 2024. Na: Kale Chongela – Geita Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika barabara inayojegwa kwa kiwango…
30 September 2024, 5:59 pm
Mwenge wa uhuru umepokelewa katika mkoa wa Geita na kuanza mbio zake wilayani Chato kwa shughuli ya kukagua, kuzindua, kutembelea na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na: Kale Chongela – Geita Mkuu wa mkoa wa Geita…
30 September 2024, 5:31 pm
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea na ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali nchini ambapo awamu hii wanaendelea na ziara katika mikoa ya kanda ya ziwa. Na: Ester Mabula – Geita Katibu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado Septemba 29, 2024 akiwa…
28 September 2024, 10:27 am
Mkoa wa Geita umeendelea kukua na kuimarika kupitia nyanja mbalimbali, hivyo uboreshaji wa miundombinu ni muhimu katika ukuaji wa uchumi. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa kata ya Buhalahala halmashuri ya mji wa Geita wameipongeza serikali kwa kuendelea kuboresha…
28 September 2024, 9:46 am
Wana-CCM kata ya Buhalahala wameanza mchakato wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika kata hiyo ili kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kukosa ofisi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanachama wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Buhalahala iliyopo…
26 September 2024, 10:17 pm
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu amefariki dunia kwa kutumbukia katika kisima baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani na kisha kukutwa ndani ya kisimani. Na: Ediga Rwenduru – Geita Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aliyetambulika kwa jina la Junior Mussa…
26 September 2024, 4:14 am
Baadhi ya wananchi mkoani Geita wamekuwa wakijihusisha na shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu ili kuendesha maisha yao pamoja na kupata kipato cha kumudu gharama za maisha. Na: Edga Rwenduru -Geita Wachimbaji wadogo katika mgodi wa Isanjabhadugu (maarufu Area B)…
26 September 2024, 3:47 am
Umoja wa wanafunzi waliohitimu shule ya msingi Mpomvu mwaka 1973-75 wamekutana kuadhimisha miaka 50 tangu kuhitimu elimu hiyo. Na: Evance Mlyakado – Geita Baadhi ya wazee waliohitimu katika shule ya msingi Mpomvu wamependekeza kufanyika marekebisho katika mfumo wa elimu unaotumika…
24 September 2024, 7:26 pm
Mkazi wa Geita na Tanzania tuungane kwa mara nyingine tena kuendelea kumsaidia Anastazia kwakuwa pesa ulizojitoa kumchangia nakupata nafasi ya kupata matibabu katika Hosptali ya Bungando Jijini Mwanza zimeisha namba ya msaada ni 0756397026. Na Mrisho Sadick: Siku zote hatuwezi…
24 September 2024, 4:54 pm
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita imemuachia huru Mahele Petro (19), mkazi wa Nyamilembe wilayani Chato mkoani Geita baada ya kukiri kosa la kumuua baba yake kwa kumchoma mkuki shingoni bila kukusudia. Na: Mwandishi wetu Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.