Storm FM

Recent posts

4 February 2025, 12:32 pm

Migogoro ya ndoa ni kikwazo kwa wakazi wa Kaseme

Februari 03, 2025 imehitimishwa wiki ya sheria nchini ambapo sambamba na hilo pia msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aid umekamilika katika mkoa wa Geita. Na: Kale Chongela – Geita Migogoro  ya ndoa katika kijiji cha kaseme, halmashauri ya…

4 February 2025, 11:44 am

Kifua kikuu tishio kwa wachimbaji Geita

Licha ya serikali kutoa huduma ya uchunguzi na matibabu ya kifua kikuu bure lakini bado kuna mwitikio mdogo wa wananchi kujitokeza kupatiwa huduma hiyo. Na Mrisho Sadick: Serikali Mkoani Geita imewataka wamiliki wa migodi midogo ya uchimbaji wa madini ya…

4 February 2025, 9:47 am

Wezi waiba na kuchinja ng’ombe wawili Nyankumbu

Matukio ya mifugo aina ya ng’ombe kuibiwa na kuchinjwa nyakati za usiku yameendelea kuacha maswali kwa wananchi katika mitaa mbalimbali ya manispaa ya Geita. Na: Edga Rwenduru – Geita Wakazi wa mtaa wa Elimu kata ya Nyankumbu halmashauri ya manispaa…

3 February 2025, 5:12 pm

TEHAMA yaongeza kasi uendeshaji shughuli za Mahakama Geita

Kilele cha wiki ya sheria nchini hufanyika kwa kujumuisha shughuli mbalimbali zinazohusiana na masuala ya sheria ili kuelimisha wananchi na kuhamasisha matumizi bora ya sheria katika jamii. Na: Ester Mabula – Geita Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Geita…

1 February 2025, 1:26 pm

Serikali za mtaa zaongoza malalamiko ya rushwa Geita

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Geita kwa mwezi Oktoba hadi Disemba mwaka 2024 imepokea jumla malalamiko 43, makosa ya rushwa yakiwa ni 32 na yasiyohusu rushwa yakiwa 11. Na: Daniel Magwina – Geita Mkuu wa TAKUKURU mkoa…

31 January 2025, 11:56 am

Nyangh’wale yapendekeza bajeti ya bilioni 4.3

Madiwani waishauri halmashauri ya Nyangh’wale kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato kwa kubuni vyanzo vipya ambavyo haviwaumizi wananchi. Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita imeendelea kufanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato kwa miaka mitano mfululizo hali…

31 January 2025, 11:23 am

Ufaulu mzuri wamkosha DC Kingalame atoa ng’ombe

Shule hiyo ya Bukwimba imeweka rekodi ya kuwa shule ya kwanza katika wilaya hiyo kufaulisha zaidi nakundoa sifuri. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita Grace Kingalame ameahidi kutoa zawadi ya Ng’ombe katika shule ya sekondari Bukwimba…

31 January 2025, 11:01 am

Ubora wa miradi waikosha CCM Nyangh’wale

Miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani Nyangh’wale Mkoani Geita imewaibua CCM kutokana na utekelezaji wake kufuata taratibu zote za ujenzi. Na Mrisho Sadick: Kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita imetembelea nakukagua miradi ya Afya…

30 January 2025, 4:03 pm

Manispaa ya Geita yapitisha bajeti ya Bilioni 68.3

Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Geita leo Januari 30, 2025 limejadili na kupitisha rasimu ya makadirio bajeti kwa mwaka 2025/2026 kiasi cha shilingi bilioni 68,393,812,906.00. Na: Ester Mabula – Geita Bajeti hiyo ina ongezeko la 13.2% zaidi…

30 January 2025, 3:43 pm

Dkt. Biteko aongoza wakazi wa Bukombe kuaga miili ya wanafunzi

“Ikifika muda kila mtu anajiuliza kwani nini chanzo cha haya yote, inabidi tumtumaini Mungu, kwani yeye ndiye mpangaji wa kila jambo” – Askofu Kanisa Katoliki Geita Na: Mrisho Sadick – Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.