Storm FM

Recent posts

13 January 2025, 5:39 pm

Wananchi Mpomvu washiriki ujenzi wa kituo cha Afya

Baada ya kuwepo kwa changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya katika maeneo jirani, hatimaye kata ya Mtakuja yaanza ujenzi wa kituo cha Afya. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja manispaa…

13 January 2025, 5:38 pm

TARURA yachukizwa wanaoziba mitaro Geita

Wakazi wa Geita wameelea kuhimizwa kutunza miundombinu ya barabara sambamba na kutoa taarifa pindi wanapobaini uharibifu wa miundombinu. Na: Kale Chongela – Geita Wakala wa barabara za mjini na vijijini TARURA wilaya ya Geita imekemea vikali tabia ya badhi ya…

11 January 2025, 4:10 pm

Madereva bajaji wachangia damu kunusuru wagonjwa Geita

Uhitaji ya damu salama umeendelea kusisitizwa kwa wananchi kujitokeza ili kujitolea kwaajili ya kuweza kunusuru wagonjwa wenye uhitaji wa damu salama. Na: Edga Rwenduru – Geita Madereva wa pikipiki zenye magurudumu matatu bajaji mkoa wa Geita wametakiwa kuwa na utamaduni…

11 January 2025, 3:53 pm

Kocha mpya Geita Gold FC kuonekana kesho Januari 12, 2025

Ligi ya NBC Championship inatarajiwa kuendelea kesho, ambapo wachimba dhahabu Geita Gold FC wanatarajiwa kuwa wenyeji wa Ccama la wana Stand United ya Shinyanga. Na: Edga Rwenduru – Geita Afisa habari wa klabu ya Geita Gold FC Samwel Dida amesema…

11 January 2025, 2:41 pm

Wafanyabiashara CCM Katoro waomba punguzo la kodi/ushuru

Mwekezaji wa soko la CCM Katoro katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro alalamikiwa na wafanyabiashara katika soko hilo wakimtuhumu kutumia mabavu katika ukusanyaji wa kodi. Na: Ester Mabula – Geita Wafanyabiashara na machinga wanaofanya kazi katika soko la CCM…

10 January 2025, 12:53 pm

Mume adaiwa kumuua mke wake Katoro

Migogoro ya kifamilia imeendelea kutajwa kuwa chanzo cha anguko la familia ambapo hupelekea changamoto mbalimbali ikiwemo ongezeko la vitendo vya ukatili miongoni mwa wanandoa. Na: Daniel Magwina – Geita Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Adventina Nicholaus mwenye umri wa…

9 January 2025, 10:38 am

Wananchi wahimizwa kujiunga na mfuko wa NHIF

Kwa sasa kuna mabadiliko ya vifurushi vya matibabu kupitia mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) ambavyo vinaendelea kutoa fursa kwa wananchi kupata matibabu. Na: Paul William – Geita Wananchi mkoani Geita wametakiwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa…

9 January 2025, 10:23 am

Kaka wa marehemu adaiwa kumfukuza mjane na watoto Geita

Miongoni mwa changamoto zinazoendelea kuwakabili wajane mkoani Geita ni pamoja na suala la mirathi ambapo wakati mwingine wamekuwa wadhurumiwa. Na: Paul William – Geita Mjane wa aliyekuwa diwani wa kata ya Nyankumbu marehemu Michael Kapaya mkazi wa mtaa wa Shilabela…

8 January 2025, 3:51 pm

Wapata ajali wakisafirisha maiti kwa bodaboda kutoka Geita-Kagera

Waendesha pikipiki wanne wa egesho la Miti mirefu mtaa wa Mission mjini Geita wamenusurika kifo baada ya kupata ajali walipokuwa wakisafirisha jeneza lenye maiti ndani yake kutoka Geita kuelekea Bukoba kwaajili ya mazishi. Na: Amon Mwakalobo – Geita Tukio hilo…

8 January 2025, 10:45 am

Watoto wanaokimbilia mitaani tishio Geita

Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali za kuhimiza wazazi kuzingatia malezi ya watoto na kuhakikisha hawatoroki kutoka majumbani kwenda mitaani, bado imekuwa ni changamoto katika mtaa wa Nyerere road Geita mjini. Na: Ester Mabula – Geita Wananchi wilayani Geita…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.