Recent posts
14 April 2021, 6:52 pm
Marufuku kubeba watoto kwenye Matanki ya mafuta Geita
Na kalechongela: Wananchi Geita wameiomba serikali ya mkoa wa kupitia kitengo cha usalama barabarani kudhibiti suala na ubebaji wa watoto kwenye matanki ya mafuta kwenye pikipiki. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa Geita wakati wakizungumza na Storm FM nakusema…
14 April 2021, 6:36 pm
Mama arudishwa kwao kisa kajifungua mtoto mwenye matatizo
Na Joel Maduka: Mwanaume anaejulikana kwa jina la LEORNARD MFI mwenye (24) mkazi wa Kata ya Kaseme Wilayani Geita anadaiwa kumrudisha mke wake nyumbani kwao kwa sababu ya kujifungua mtoto mwenye ugonjwa wa kichwa kujaa maji. Mtoto huyo mwenye umri…
14 April 2021, 5:15 pm
Waumini wa dini ya kiislamu Geita washauriwa kuzidisha upenndo
Na Joel Maduka: Waislamu kote duniani leo hii wameanza kufunga kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambapo hujizuiya kula na kunywa kuanzia alfajiri hadi jua linapozama takriban siku 30 au 29 kutegemea na muandamo wa mwezi. Shehe Mkuu wa…
14 April 2021, 4:02 pm
Wafugaji wakaidi kuchukuliwa hatua kali Geita
Na Kale Chongela Serikali ya mtaa wa Tambukareli kata ya kalangalala Halmashauri ya mji wa Geita imeanza utekelezaji wa kuwachukulia hatua kali wafugaji ambao hawazingatia taratibu na kanuni za ufugaji maeneo ya mjini. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo Bw Mabula…
9 April 2021, 12:16 pm
Mwanaume (32) wilayani Chato ajinyonga hadi kufa
Na Mrisho Sadick: Mtu mmoja mwenye umri wa miaka (32) mkazi wa kijiji cha Izumangabo kata ya Bwanga wilayani chato mkoani Geita amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kikoi cha mke wake huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Tukio…
8 April 2021, 12:23 pm
Mnyama aina ya kima azua taharuki Geita
Na Mrisho Sadick Mnyama aina ya kima au mbega amezua taharuki katika Mtaa wa uwanja mjini Geita baada ya kuingia katika makazi ya watu huku akiwa hajulikani ametoka wapi. Kima akiwa amejificha chooni Wakizungumza na Storm FM baadhi ya wakazi…
5 April 2021, 6:35 pm
Ulinzi na usalama Geita umeimarika
Na Zubeda Handrish: Wakazi wa Mtaa wa Msufini mjini Geita wamezungumzia hali ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao tangu aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kuingia madarakani. Wameyasema hayo walipozungumza…
5 April 2021, 6:24 pm
Wananchi Geita wajivunia barabara za mitaa
Wananchi mjini Geita wameelezea namna walivyoguswa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na watakavyoendelea kumuenzi kwa yale aliyowaachia ikiwamo barabara za mitaa zilizojengwa katika kipindi chake. Baadhi ya wakazi wa mtaa…
5 April 2021, 5:27 pm
Mwenyekiti wa Mtaa anusurika kipigo kutoka kwa wananchi Geita
Mwenyekiti wa mtaa wa Tambukareli kata ya Kalangalala Wilayani Geita amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wa mtaa wa Bombambili kwa madai ya kutaka kusoma taarifa ambayo hawakuitaka isomwe mbele yao. Hatua hiyo ya wananchi imetokana na madai ya kiongozi huyo…
5 April 2021, 4:36 pm
Wazee Mjini Geita Waendelea kumuenzi Dkt John Pombe Magufuli
Baadhi ya wazee katika Halmashauri ya mji wa Geita wameomba viongozi mbalimbali kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwapa kipaumbele kwa huduma mbalimbali za kijamii kama ilivyokuwa enzi za utawala wa hayati Magufuli . Wazee hao wamesema kuwa hayati Magufuli watamkumbuka kwa…