Mazingira FM
Mazingira FM
1 May 2025, 8:24 pm
Macho na masikio ya wakulima wengi wa zao hilo nchini yatakuwa katika hafla hiyo, kwani matamanio ya wengi ni kuona bei ambayo itatangazwa Na Adelinus Banenwa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB) inatarajia kutangaza bei elekezi ya ununuzi wa zao hilo…
1 May 2025, 4:32 pm
Katika utetezi wake mshitakiwa aliiomba mahakama imuachie huru kutokana na yeye kuwa ni mjane na ana watoto watano wanamtegemea. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu kifungo cha masharti (condition discharge) cha kutokutenda kosa lolote ndani ya miezi…
26 April 2025, 4:21 pm
Wito umetolewa kwa wananchi kuzingatia usafi wa mazingira na matumizi sahihi ya vyandarua ili kuepuka maambukizi ya malaria Hayo yamesemwa leo na Dr Henry Lukamisa ambaye ni mratibu wa Malaria mkoa wa Mara wakati akizungumza kupitia Radio Mazingira fm ndani…
23 April 2025, 4:41 pm
Mbali na kifungo cha miaka 30 pia mahakama imeamuru kulipa fidia ya shilingi milioni 2 kwa muhanga kwa mujibu wa sheria ya uendeshaji wa makosa ya jinai 348 (1) sura ya 20 marejeo ya mwaka 2022. Na Adelinus Banenwa Mahakama…
22 April 2025, 8:42 pm
Waliosalia asilimia 10 katika kipindi kifupi malipo yatakamilika huku akimuagiza waziri wa fedha kukamilisha mchakato huo ndani ya siku 14 Na Adelinus Banenwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Taifa Dr Emmanuel Nchimbi amewatoa hofu wakazi wa kata ya…
19 April 2025, 8:28 pm
Sheria ya bima inayatambua makundi matatu ambayo ni taasisi inayotoa bima, taasisi, kampuni au mtu anayekata bima na kundi la tatu ni wanaopata majanaga ambao hawafungamani na makundi mawili ya awali Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa jamii kuondoa dhana…
16 April 2025, 5:10 pm
Ni aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa TANESCO aliyefariki kwa ajali ya gari eneo la nyatwali Bunda Na Adelinus Banenwa Shughuli ya mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Boniface Gissima Nyamo-hanga inaendelea nyumbani kwake Mtaa wa Migungani kata ya Bunda stoo Bunda…
12 April 2025, 7:16 pm
Barrick North Mara umetenga kiasi cha shilingi bilioni 4.687 fedha ya uwajibikaji wa kampuni kwa wananchi CSR Na Edward Lucas Mgodi wa Barrick North Mara umetenga kiasi cha shilingi bilioni 4.687 fedha ya uwajibikaji wa kampuni kwa wananchi CSR kwa…
7 April 2025, 8:50 pm
Mwananchi kushawishi mgombea au mtia nia kumpatia chochote ni kinyume na sheria ya takukuru sura ya 329 kifungu cha 15 (8) Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya rushwa hasa kwa kuwashawishi viongozi na watia nia…
5 April 2025, 12:08 am
Watuhumiwa hao wanatajwa kutenda makosa ya Matumizi mabaya ya Madaraka, kughushi nyaraka kwa lengo la kumdanganya muajiri, kuunda vikundi hewa na kufanya ubadhirifu wa shilingi milioni 3. Na Adelinus Banenwa Watu wanne akiwemo diwani wilayani Bunda wamefikishwa mahakani kwa tuhuma…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com