Mazingira FM
Mazingira FM
24 May 2025, 8:41 pm
Ni jukumu la vijana hao kuhakikisha wanwalinda viongozi pia wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi pindi mchakato wa chama utakapoanza Na Adelinus Banenwa Katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Bunda Pendo Machilu amewataka vijana kuacha…
16 May 2025, 5:25 pm
Wamesema kuwa ziara hiyo imewapanua uelewa wao kuhusu namna vyombo vya habari vinavyofanya kazi. Na Taro Michael Wanafunzi wa kidato cha nne kutoka Shule ya Sekondari Migungani, iliyopo wilayani Bunda, mkoani Mara, wamefanya ziara ya kielimu katika Redio Mazingira FM…
16 May 2025, 2:16 pm
Ni wajibu wa baraza la madiwani kujua miradi inayotekelezwa katika maeneo yao na kuisimamia ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Ndugu Salumu Mtelela ameitka halmashauri ya wilaya ya Bunda kukamilisha miradi inayoendelea kutekelezwa…
8 May 2025, 8:25 pm
Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hili mwaka 2005 limesaidia wanawake wengi katika kuhakikisha wanazifikia ndoto zao Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswege Enock Kaminyoge amezielekeza halmashauri za wilaya ya Bunda kuandaa program maalumu kwa ajili ya kutoa…
8 May 2025, 7:56 am
Wateja wamepungua kwa kasi katika siku za hivi karibuni kutokana na watu wengi kuelekeza nguvu zao katika kununua samaki Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa katika mji wa Bunda, upatikanaji mkubwa wa samaki kwa sasa umeanza kuathiri kwa kiasi kikubwa biashara…
6 May 2025, 3:31 pm
Wananchi ambao vitambulisho vyao vya zamani bado wanavyo na havina shida yoyote ya kufutika au kukatika na hawajahama kata au jimbo hawana haja ya kwenda kutafuta vitambulisho vingine. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi wa jimbo la bunda mjini…
6 May 2025, 3:13 pm
Kutumia mbinu ya ulinzi shirikishi na kutoa elimu ili kuwafanya wananchi wawe walinzi wa maeneo hayo. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evance Mtambi amezitaka mamlaka za uhifadhi ikiwemo mamlaka ya hifadhi ya taifa ya Serengeti na…
6 May 2025, 10:18 am
Serikali tayari imetoa bilioni 53 kwa ajili ya ulipaji wa fidia kwa wakazi hao ili kuachia maeneo hayo yawe sehemu ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Na Adelinus Banenwa Wananchi wa Nyatwali ambao tayari wamelipwa stahiki zao kwa utaratibu wa…
5 May 2025, 11:47 am
Maadhimisho ya siku ya urithi wa dunia ambayo yatafanyika Eneo la Mugumu wilaya Serengeti mkoani Mara na mgeni rasmi inatarajiwa kuwa mkuu wa mkoa wa Mara. Na Adelinus Banenwa Kamishna msaidizi mwandamizi Stephano Msumi ambaye ni mkuu wa hifadhi ya…
3 May 2025, 11:14 am
Ndege Makebe Karando (31) amuua kwa kumchoma visu aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni muhudumu wa afya katika zahanati ya marambeka Zawadi John Kazi (35) kisha na yeye kujinyonga. Na Adelinu Banenwa Vilio na sintofahamu vimeendelea kutawala kwa wakazi wa kijiji…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com