Mazingira FM
Mazingira FM
29 May 2024, 6:15 pm
halmashauri ya wilaya ya bunda yapewa kongole na mkuu wa wilaya kuhusu kusanyaji wa mapato Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa utekelezaji wa miradi kwa ufanisi. Mhe Naano…
25 May 2024, 7:22 pm
Aliyekutwa akijisomea na kuandika notes kwa kutumia mwanga wa taa za barabarani huku akiuza karanga na miwa mjini Bunda usiku apewa zawadi na mkuu wa wilaya kama motisha. Furaha Hamis mwanafunzi wa shule ya sekondari Nyamakokoto aliyekutwa akijisomea chini ya…
24 May 2024, 12:38 pm
Wananchi watakiwa kushiriki kwenye miradi ya maendeleo inayokuja kwenye maeneo yao. Na Mariam Mramba Wananchi wa mtaa wa Nyasana kata ya Kabasa katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamesema wapo tayari kujitolea nguvu kazi zao kwa kushirikiana na…
24 May 2024, 12:06 pm
“Vijana jiungeni na mafunzo ya jeshi la akiba hakuna mateso bali zipo fursa “ Na Mariam Mramba Imeelezwa kuwa wananchi kutokuwa na uelewa juu ya mafunzo ya jeshi la akiba na kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata vijana wanaotakiwa kujiunga na…
24 May 2024, 10:43 am
ukosefu wa maji, umeme na barabara kwenye eneo la kisiwani mtaa wa Idara ya maji na Kilimani kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni. Na Adelinus Banenwa Mhe Flavian Chacha Nyamageko diwani kata ya Bunda stoo amefanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero…
24 May 2024, 10:16 am
Kufunguliwa kwa huduma ya matibabu hospitali ya halmashauri ya mji wa Bunda inatajwa itapunguza adha kwa wakazi wa bunda stoo ambao walikuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma za matibabu. Na Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Bunda stoo Mhe Flavian…
22 May 2024, 7:08 pm
Wazazi kutofatilia maendeleo ya watoto shuleni , utoro na ukosefu wa chakula shuleni chanzo cha wanafunzi wengi kufeli mtihani wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda chini ya mkuu wa wilaya dkt Vicent Naano imewasilisha utekelezaji wa ilani ya …
19 May 2024, 2:28 pm
Alianza kwa kutokwa na damu puani mwaka 2021 akiwa kidato cha nne ikafuatiwa nyama za puani, amefanyiwa upasuaji mara mbili hospitali ya Bugando. Na Adelinus Banenwa Arnold Eflon miaka 21 aliyepatwa na ugonjwa wa ajabu amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan…
19 May 2024, 1:04 pm
“Kama wewe ni mtumishi wa serikali mkoa wa Mara na hutaki kutoa habari kwa waandishi mimi nakuona ni msaliti” Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evance Mtambi ametoa onyo kwa watumishi wa serikali mkoani Mara wasiotoa ushirikiano …
11 May 2024, 7:41 pm
TAKUKURU yaanza kujipanga kudhibiti matukio na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi serikali za mitaa. Na Adelinus Banenwa Kujitoa kugombea, kusafirisha wapigakura, kununua au kuuza kadi ya mpiga kura ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa ni rushwa katika kipindi cha uchaguzi.…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com