Mazingira FM
Mazingira FM
6 January 2025, 7:23 pm
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Bunda kwa kushirikiana na ofisi ya mbunge jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto imetoa mkono wa pole wa shilingi laki tano 500,000 kwa waathirika wa kuunguliwa na nyumba kata ya Bunda stoo…
2 January 2025, 9:08 pm
Zaidi ya watu 20 katika mtaa wa miembeni kata ya Bunda stoo halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamenusurika kifo baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya watu 20 katika mtaa wa miembeni kata…
31 December 2024, 7:45 pm
“Changamoto ya ukata ndani ya jumuiya ya wazazi ndiyo imepelekea kubuniwa mradi wa kiuchumi kusaidia jumuiya hii kujiendesha” Lucy John Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango chama cha mapunduzi wilaya ya Bunda Ndugu Kambarage Masatu Wasira…
31 December 2024, 7:18 pm
Kulipa mikopo kwa wakati na kubaki na mipango iliyopelekea kuomba mkopo kitasaidia vikundi vilivyokopa kupata manufaa na fedha za halmashauri. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi milioni 187.4 zimetolewa na halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa vikundi vya wanawake, vijana…
30 December 2024, 6:40 pm
Jumuiya ya wazazi ni kama imesahaulika hivi wakati mwingine tunatoa pesa zetu mfukoni ili kufanya kazi za jumuiya tunataka kuwa na mradi utakaowezesha kuacha kuwa ombaomba” Magwayega “ Na Adelinus Banenwa Jumuiya ya wazazi chama cha mapinduzi CCM wilaya ya…
20 December 2024, 1:39 pm
Miongo mwa Kampuni zilizopokea zawadi hizo za pongezi ni Kampuni ya Maboto microfanence. Na Adelinus Banenwa TRA yakabidhi zawadi za pongezi kwa wateja wake wanaolipa kodi kwa hiari mjini Bunda Alferd Mregi, Kamishina wa kodi za ndani TRA amewataka wale…
18 December 2024, 7:09 pm
Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mara limewataka wananchi wote kuchukua tahadhari za usalama kuelekea sikukuu za kufunga mwaka 2024. Na Adelinus Banenwa Akizungumza kupitia kipindi cha Duru za habari ndani ya studio za radio Mazingira Fm Mrakibu wa…
18 December 2024, 12:24 pm
“Wametoboa signboard wamekunywa soda maganda wametupa hapo chini walinzi walikuwa nje hawakujua kilichokuwa kikiendelea“. Na Adelinus Banenwa Ni katika hali isiyo ya kawaida wezi waiba zaidi ya maduka 11 eneo la Genge la jioni mtaa wa Posta kata ya Bunda…
14 December 2024, 8:39 pm
Kilio kukubwa cha vijana hao ni kutaka ushirikiano kutoka kwa viongozi hao ikiwa ni pamoja na madiwani na wabunge. Na Adelinus Banenwa Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilayani Bunda wamewasihi viongozi waliochaguliwa kupitia chama hicho kutoisahau jumuiya hiyo kutokana…
13 December 2024, 7:08 am
Changamoto za kisheria zilizopo wilayani Bunda ni tatizo la migogoro ya ardhi, mirathi n.k. Na Adelinus Banenwa Wananchi wilayani Bunda wametakiwa kujitokeza na kutumia fursa ya timu ya wataalamu wa sheria kutoka kwa Rais Samia inayozunguka kusikiliza kero, ili kutatua…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com