Recent posts
22 August 2024, 4:45 pm
CCM wilaya ya Geita yatoa tamko ufatiliaji wa miradi
CCM wilaya ya Geita kuwachukulia hatua baadhi ya wajumbe ambao wamekuwa wakitumia pikipiki za chama hicho kusafirisha abiria jambo ambalo ni kinyume na malengo. Na: Kale Chongela – Geita Katibu wa CCM wilaya ya Geita ndugu Marko Msuya leo Agosti 22,…
22 August 2024, 3:56 pm
Inatisha, avunjika uti wa mgongo, aomba msaada
Annastazia Jacob (22) mkazi wa kijiji cha Mabamba, kata ya Nyamigota ndani ya mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani na mkoani Geita anapitia maumivu makali na mateso baada ya kuanguka kutoka juu ya mti. Na: Evance Mlyakado – Geita…
21 August 2024, 4:24 pm
Mkoa wa Geita wavuka lengo zoezi la uandikishaji
Wananchi mkoani Geita wameitikia wito kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji a uboreshaji wa taarifa za mpiga kura mkoani Geita. Na: Kale Chongela – Geita Mkoa wa Geita umevuka lengo katika zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu…
17 August 2024, 1:19 pm
Mikopo yenye riba nafuu kuwainua wananchi Geita
Kufuatia kukua na kuimarika kwa maendeleo ya teknolojia nchini kumewezesha wananchi wengi kupata huduma za kibenki kwa njia salama na kuwa na uhakika wa usalama wa fedha zao. Na: Kale Chongela – Geita Afisa mtendaji mkuu wa Benki ya mwalimu…
16 August 2024, 1:49 pm
Dereva anusurika kifo baada ya kujeruhiwa na wasiojulikuana Geita
Matukio ya madereva pikipiki maarufu bodaboda kuvamiwa na kujeruhiwa huku baadhi yao wakiporwa pikipiki yanaacha hofu kwa madereva huku wakiomba mamlaka za serikali kuwasaidia. Na: Amon Mwakalobo – Geita Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Issa Lameck mkazi wa kata…
15 August 2024, 2:30 pm
Mapato ya madini ujenzi, Geita Mji yapaa
Madini ujenzi ikiwemo mawe , kokoto , mchanga na moramu chanzo cha mapato kilichokuwa hakitazamwi sana katika halmashauri ya mji wa Geita. Na Mrisho Sadick: Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Geita mkoani Geita limempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa…
14 August 2024, 11:28 am
Kijana apewa kichapo kwa tuhuma za kuiba Tsh. 70,000 Katoro
Soko la CCM ni soko mama lililopo katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro ambalo limekuwa likitumiwa na watu kutoka katika vijiji vya Magenge, Nyamalulu, Kaseme, Kasesa, Mabamba nk Na: Nicolaus Lyankando – Geita Kijana mmoja ambaye hakufahamika jina lake…
13 August 2024, 4:35 pm
Wafanyabiashara Geita walalamikia utitiri wa kodi
Wafanyabiashara wa madini mkoani Geita wameiomba serikali kupunguza utitiri wa kodi katika biashara ya madini kwani imekuwa chanzo cha baadhi ya wafanyabiashara kutorosha madini kwa lengo la kukwepa kodi. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya wafanyabiashara wa madini mkoani Geita…
13 August 2024, 9:59 am
Taasisi za fedha zakumbushwa kuwainua wakulima
Serikali yahimiza taasisi za kifedha nchini kutokuwabagua wakulima kwani kwa kuwawezesha itasaidia kukuza sekta ya kilimo nchini kwa ujumla. Na: Kale Chongela – Geita Taasisi za kifedha zimetakiwa kuwapa kipaumbele wakulima katika suala la mikopo ili kukuza uchumi wa kila…
12 August 2024, 4:42 pm
GGML yafadhili mafunzo kukabiliana na majanga ya moto
Jumla ya watumishi 78 kutoka halmashauri ya mji wa Geita wamepewa mafunzo ya namna ya kukabiliana na majanga ya moto. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya GGML iliyopo mkoani Geita, kwa kushirikiana na Jeshi…