Storm FM

Recent posts

28 September 2024, 9:46 am

Ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Buhalahala waanza

Wana-CCM kata ya Buhalahala wameanza mchakato wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika kata hiyo ili kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kukosa ofisi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanachama wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Buhalahala iliyopo…

26 September 2024, 10:17 pm

Mtoto (3) afariki dunia kwa kutumbukia kisimani Geita

Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu amefariki dunia kwa kutumbukia katika kisima baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani na kisha kukutwa ndani ya kisimani. Na: Ediga Rwenduru – Geita Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aliyetambulika kwa jina la Junior Mussa…

26 September 2024, 4:14 am

Wachimbaji waomba mgodi uliofungwa ufunguliwe Mbogwe

Baadhi ya wananchi mkoani Geita wamekuwa wakijihusisha na shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu ili kuendesha maisha yao pamoja na kupata kipato cha kumudu gharama za maisha. Na: Edga Rwenduru -Geita Wachimbaji wadogo katika mgodi wa Isanjabhadugu (maarufu Area B)…

26 September 2024, 3:47 am

Wazee Geita watoa neno mfumo wa elimu nchini

Umoja wa wanafunzi waliohitimu shule ya msingi Mpomvu mwaka 1973-75 wamekutana kuadhimisha miaka 50 tangu kuhitimu elimu hiyo. Na: Evance Mlyakado – Geita Baadhi ya wazee waliohitimu katika shule ya msingi Mpomvu wamependekeza kufanyika marekebisho katika mfumo wa elimu unaotumika…

24 September 2024, 7:26 pm

Anastazia aliyevunjika mgongo bado anaomba msaada

Mkazi wa Geita na Tanzania tuungane kwa mara nyingine tena kuendelea kumsaidia Anastazia kwakuwa pesa ulizojitoa kumchangia nakupata nafasi ya kupata matibabu katika Hosptali ya Bungando Jijini Mwanza zimeisha namba ya msaada ni 0756397026. Na Mrisho Sadick: Siku zote hatuwezi…

24 September 2024, 4:54 pm

Aliyemuua baba yake aachiwa huru Geita

Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita imemuachia huru Mahele Petro (19), mkazi wa Nyamilembe wilayani Chato mkoani Geita baada ya kukiri kosa la kumuua baba yake kwa kumchoma mkuki shingoni bila kukusudia. Na: Mwandishi wetu Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba…

24 September 2024, 3:37 pm

Kampeni ya ‘Tuwaambie kabla hawajaharibiwa’ ilivyozinduliwa Geita

Imeelezwa matukio ya ukatili ikiwemo vitendo vya ubakaji yameongezeka mkoani Geita kwa mwaka 2024 kufikia 91 kutoka 71 mwaka 2023. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi mkoani Geita wametakiwa kuendelea kutoa ushirikiano juu ya vitendo vya ukatili ikiwemo upakaji ili…

19 September 2024, 10:14 am

Wanaoeneza uvumi watoto kutolewa figo waonywa Geita

Inadaiwa uwepo wa taarifa za uongo juu ya matukio ya watoto kutekwa nakutolewa figo imeendelea kuleta taharuki katika jamii huku vyombo vya dola vikitakiwa kusimama kidete. Na Mrisho Sadick: Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Geita…

19 September 2024, 12:16 am

Watu wawili wanusurika kifo kwa ajali mbaya ya ya pikipiki

Pichani ni umati wa watu wakiwa eneo la tukio.picha na Kale chongela. Katika hali ya kushangaza dereva pikipiki na dereva baiskeli wamegongana na kusababisha watu wawili kunusurika na kifo wakiwa katika shughuli zao za kila siku za kusafirisha abiria. Na…

18 September 2024, 1:32 am

Mufti mkuu wa Tanzania autembelea mgodi wa GGML

Pichani ni mufti mkuu akiwa na viongozi wa dini mkoa na viongozi wa GGML .Picha na Adelina ukugani Mufti na Sheikhe mkuu wa Tanzania amefanikiwa kutembelea mgodi wa GGML kwa mara ya kwanza uliopo mkoani Geita akiambatana na Viongozi mbalimbali…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.