Recent posts
27 May 2021, 2:22 pm
Wanawake tujishughulishe na kazi kuepuka utegemezi
Wanawake katika kata ya Mgusu wilayani Geita wameshauriwa kujishughulisha na biashara ndogo ndogo za halali ili kuepuka utegemezi katika jamii. Rai hiyo imetolewa na wanawake wanaofanya kazi katika mgodi wa uchimbaji wa madini ya dhahabu wa mgusu miners wakati wakizungumza…
26 May 2021, 2:17 pm
Mkoa wa Chato wapendekezwa kuundwa na wilaya 5
Kikao cha kamati ya ushauri cha mkoa wa Geita (RCC) kimekubaliana kwa pamoja kuwa mkoa mpya wa Chato utakaomegwa kutoka katika mkoa wa Geita na mikoa jirani za kagera na kigoma utaundwa na wilaya tano za Chato,Bukombe,Ngara,Bihalamulo na kakonko. Kikao…
21 May 2021, 5:52 pm
Wachimbaji Watakiwa Kuondoa Migogoro Kazini
Na Joel Maduka: Wachimbaji wadogo ambao wamekuwa wakifanya shughuli zao kwenye Mikoa ya Kanda ya ziwa wametakiwa kuondoa tofauti ambazo zimekuwa zikisababisha migogoro ya mara kwa mara hali inayochangia kushindwa kuungana ili kuweza kukuza uzalishaji wao na kuufanya kuwa…
20 May 2021, 8:05 pm
Wazazi na Walezi Wagomea Chanjo Nyankumbu, Geita
Na Mrisho Sadick: Wazazi na walezi katika mtaa wa uwanja kata ya Nyankumbu mjini Geita wameshauriwa kuwaruhusu watoto wao kupatiwa dawa za kinga tiba ya kichocho na minyoo ili kuwakinga na changamoto hiyo. Rai hiyo imetolewa na Mganga mfawidhi wa…
20 May 2021, 7:51 pm
Vituo Vya Kutolea Huduma Za Afya Vyatakiwa Kuhakiki Vipimo
Na Mrisho Sadick: Hospitali za wilaya na vituo vya kutolea huduma za Afya Mkoani Geita zimetakiwa kufanya uhakiki wa vipimo ili kuondoa utata katika utoaji wa huduma kwa Wananchi.Rai hiyo imetolewa na Meneja wa wakala wa Vipimo Mkoani Geita Bw…
20 May 2021, 2:25 pm
Watu Wawili Wakamatwa Wakichinja Mbwa Geita
Na Zubeda Handrish: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu wawili ambao hawajafahamika kwa majina yao wamekamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa wakichinja mbwa katika mtaa wa Msalala road Halmashauri ya mji wa Geita. Wakizungumza na Storm FM wananchi…
19 May 2021, 7:20 pm
Afisa Mtendaji Ibolelo Atoweka Na Zaidi Ya Laki 800,000 Za Wananchi
Na Kale Chongela: Wakazi wa Mtaa wa Ibolelo kata ya Nyankumbu Halmashauri ya mji wa Geita wamewaomba viongozi wa eneo hilo kumfuatilia na kurejesha kiasi cha Fedha shilingi Laki nane Tisini na Tatu Elfu iliyotumiwa na aliyekuwa afisa mtendaji wa…
13 May 2021, 9:47 am
Kikundi cha WhasApp cha Geita Huru chatoa msaada
Na Mrisho Sadick: Kikundi cha WhatsApp cha Geita Huru kimeungana kwa pamoja kuwatembelea watoto wenye uhitaji wakiwemo yatima katika kituo cha Bright Light kilichopo Geita mjini ambapo wametoa msaada wa chakula na vifaa vya usafi kwa ajili ya watoto hao.…
13 May 2021, 9:42 am
Mgogoro wa wachimbaji wa dhahabu wamalizika
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wameipongeza serikali kupitia wizara ya madini kwa kumaliza mgogoro wa wachimbaji katika mgodi wa Nyakafuru. Wakizungumza na Storm FM siku chache baada ya waziri wa madini Mhe, Dotto…
12 May 2021, 9:28 am
Wajilinda kuzuia ndoa za utotoni
Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Igate kata ya Nzera halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita wameweka mikakati ya kutokomeza vitendo vya baadhi ya wazazi wenye tabia ya kuozesha watoto wadogo badala ya kuwapeleka shule. Wakizungumza na Storm…