Storm FM

Recent posts

8 October 2024, 2:55 pm

Rafiki Trustee Team yatoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi

Baadhi ya watoto waishio katika mazingira magumu na kaya duni wamekuwa wakipitia changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa mahitaji ya shule. Na: Evance Mlyakado – Geita Wanafunzi 46 kutoka shule za msingi na sekondari tano ndani ya wilaya ya Geita wamepokea…

7 October 2024, 9:52 am

Wananchi wahofia kupita daraja la Katundu nyakati za usiku

Uwepo wa daraja la Katundu ambalo linatumiwa na wananchi mbalimbali umepelekea hofu kwa baadhi ya wananchi kutokana na baadhi ya vijana kukaa hasa nyakati za usiku. Na: Amon Mwakalobo – Geita Baadhi ya wananchi halmashauri ya mji wa Geita wanaoutumia…

3 October 2024, 9:43 am

Kiongozi mbio za mwenge aridhishwa na mradi wa maji Mbogwe

Mwenge wa uhuru umeendelea kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Geita tangu ulipokabidhiwa rasmi Septemba 30, 2024. Na: Kale Chongela – Geita Mbio za Mwenge wa uhuru zimeridhishwa na mradi wa maji wenye thamani ya 2,050,923,546.11 uliopo…

2 October 2024, 10:55 am

Katibu mkuu ACT Wazalendo ahitimisha ziara mkoani Geita

Ziara ya katibu mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu katika maeneo mbalimbali mkoani Geita imetamatika kwa kutembelea halmashauri ya wilaya ya Bukombe. Na: Ester Mabula – Geita Katibu mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado Septemba 30, 2024 amehitimisha ziara…

2 October 2024, 10:24 am

Mwenge waweka jiwe la msingi barabara yenye KM 1.24 Bukombe

Mwenge wa uhuru unaendelea kutembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Geita tangu ulipopokelewa Septemba 30, 2024. Na: Kale Chongela – Geita Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika barabara inayojegwa kwa kiwango…

30 September 2024, 5:59 pm

Mwenge wa uhuru kukagua miradi ya Tsh. bilioni 32.2 Geita

Mwenge wa uhuru umepokelewa katika mkoa wa Geita na kuanza mbio zake wilayani Chato kwa shughuli ya kukagua, kuzindua, kutembelea na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na: Kale Chongela – Geita Mkuu wa mkoa wa Geita…

30 September 2024, 5:31 pm

Katibu ACT Wazalendo ziarani wilayani Mbogwe

Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea na ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali nchini ambapo awamu hii wanaendelea na ziara katika mikoa ya kanda ya ziwa. Na: Ester Mabula – Geita Katibu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado Septemba 29, 2024 akiwa…

28 September 2024, 10:27 am

Wakazi Buhalahala wapongeza uwekwaji taa za barabarani

Mkoa wa Geita umeendelea kukua na kuimarika kupitia nyanja mbalimbali, hivyo uboreshaji wa miundombinu ni muhimu katika ukuaji wa uchumi. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa kata ya Buhalahala halmashuri ya mji wa Geita  wameipongeza serikali kwa kuendelea kuboresha…

28 September 2024, 9:46 am

Ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Buhalahala waanza

Wana-CCM kata ya Buhalahala wameanza mchakato wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika kata hiyo ili kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kukosa ofisi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanachama wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Buhalahala iliyopo…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.