Recent posts
4 January 2023, 8:25 am
Wizi wa ajabu wafanyika duka la dawa.
Na Adelina Ukugani: Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wafanyabiashara kuchukua tahadhari ya watu ambao wanaenda kama wateja kununua bidhaa kwao ili wasiwaingize katika hasara ya kuibiwa ikiwa ni baada ya muuzaji wa duka la dawa kuibiwa na watu walioingia…
4 January 2023, 8:19 am
Anusurika kipigo baada ya kukutwa kwenye makazi ya watu bila ya nguo.
Na Mrisho Sadick: Mwanamke mmoja ambae hakufahamika jina lake Mkazi wa Mtaa wa Nyerere Road mjini Geita amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wa mtaa wa Uwanja Kata ya Nyankumbu baada ya kukutwa nje ya makazi ya mtu akiwa mtupu akahisiwa…
3 January 2023, 9:06 am
Afariki dunia kwa kusombwa na maji akitoka kunywa pombe.
Na Mrisho Sadick: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani Geita wamefanikiwa kuupata mwili wa Matunda Nyama mwenye umri wa miaka (61) Mkazi wa Kata ya Buhalahala halmashauri ya mji wa Geita aliyesombwa na maji…
3 January 2023, 9:02 am
Paka wa ajabu aleta taharuki kwa kufanya shambulio.
Na Kale Chongela: Watu watatu akiwemo mtoto mwenye umri wa miaka (5) wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na paka wa ajabu majira ya alfajiri katika Kitongoji cha kilimahewa Kata ya Lulembela wilayani mbogwe Mkoani Geita. Tukio hilo limezua taharuki kwa…
29 December 2022, 7:55 pm
Afariki dunia baada ya kusombwa na maji akivuka mto
Na Mrisho Sadick : Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Benjamini John mwenye umri wa miaka (30) Mkazi wa Kata ya Kasamwa Halmashauri ya mji wa Geita amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kwenye mto kwenda…
17 December 2022, 2:37 pm
GGML yaipa donge nono Geita Gold FC
Na Zubeda Handrish: Kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Geita Golid Mining Limited (GGML) @anglogoldashantitanzania imeingia udhamini kwa mara nyingine tena na Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa thamani ya Sh. Milioni 800 kwa mwaka 2022/2023. Kufuatia mkataba…
17 December 2022, 2:29 pm
Uwanja wa Magogo mbioni kukamilika
Na Zubeda Handrish: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Zahara Michuzi ametoa tathimini ya maendeleo ya uwanja utakaotumiwa na klabu ya @geitagoldfc ulioko Magogo akisema zaidi ya Bilioni 1.8 zimetumika hadi sasa huku bajeti ya awamu ya kwanza ya kukamilisha uwanja…
17 December 2022, 2:13 pm
Storm FM funga mwaka
Na Zubeda Handrish: Storm FM tukiwa tunaukamilisha mwaka 2022 tunafunga na Bonanza la Funga Mwaka kwa kushirikisha vilabu vya soka na michezo mbalimbali siku ya kufunga. Leo Dec 17, 2022 ni ufunguzi wa bonanza hilo ambapo zinaanza timu za Shadow…
15 December 2022, 8:15 pm
Wakazi wa Mtaa wa uwanja wapondwa mawe na watu wasioonekana
Na Mrisho Sadick Wakazi wa Mtaa wa Uwanja Kata ya Nyankumbu wilayani na Mkoani Geita wamekumbwa na taharuki kufuatia tukio la kurushiwa mawe ya ajabu kwenye makazi yao na watu ambao hawaonekani nyakati za mchana na usiku hali ambayo imeendelea…
12 December 2022, 2:54 pm
Moto wa ajabu wateketeza Nyumba
Inspekta Edward Lukuba Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Geita limewataka wananchi kuendelea kutumia namba ya 114 kwa ajili ya kutoa taarifa za majanga ya moto na matukio yanayohitaji uokozi haraka kwakuwa wengi wao wamekuwa wakitoa…