Recent posts
26 November 2024, 4:43 pm
Vikundi 81 vyanufaika na mikopo ya 10% mjini Geita
Mikopo ya asilimia 10 ambayo imeendelea kutolewa na serikali ya Tanzania imeendelea kunufaisha watu mbalimbali katika makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kupitia miradi mbalimbali wanayoifanya. Na: Kale Chongela – Geita Jumla ya vikundi 81 kutoka katika kata…
23 November 2024, 10:59 am
Watu wenye ulemavu waomba kipaumbele kwenye uchaguzi
Watu wenye ulemavu, wanawake na vijana wametakiwa kuhamasika kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ili kutimiza haki yao ya msingi ya kikatiba. Na: Ester Mabula – Geita Sikiliza simulizi ya Bi. Zainabu John (39) mwanamke mwenye ulemavu ambaye anaeleza…
20 November 2024, 9:14 pm
Upepo waezua nyumba Geita
Halmashauri ya mji wa Geita imeendelea kukumbwa na majanga baada ya siku chache kupatwa na mafuriko sasa upepo mkali waezua nyumba. Na Kale Chongela: Mvua iliyoambatana na upepo Mkali imeezua jengo la ukumbi wa mpira na vibanda vinne vya wafanyabiashara …
19 November 2024, 8:33 pm
Binti aliyevunjika uti wa mgongo Inyala awashukuru
Nguvu ya umma imeendelea kurejesha tabasamu kwa Annastazia aliekata tamaa ya maisha nakutamani afe baada ya kuvunjika uti wa mgogo wakati akichuma maembe juu ya mti Na Mrisho Sadick: Annastazia Jackobo mkazi wa kijiji cha Inyala Kata ya Nyamigota wilayani…
19 November 2024, 12:01 pm
Rufaa 56 kati 57 za CHADEMA zakubaliwa Geita
Baada ya mchakato wa kuwasilisha rufaa kupinga kuenguliwa kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa hatimae mbivu na mbichi zimejulikna Na Edga Rwenduru: Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Geita mjini Yefred Myenzi amesema walipokea jumla ya…
19 November 2024, 10:53 am
Wimbi la wizi lawaibua wananchi Nyamakale
Vilio vya wananchi kwa serikali juu ya kuongezeka kwa wimbi la vijana wezi katika mtaa wa Ibolelo Mwabasabi Kata ya Nyankumbu mjini Geita. Na Kale Chongela: Wakazi wa Nyamakale Mtaa wa Ibolelo maarufu kwa jina la Mwabasabi Kata ya Nyankumbu…
18 November 2024, 6:16 pm
Kanisa Katoliki, GGML wawaibua watoto wenye ulemavu Geita
Katika jamii hususani mikoa ya kanda ya ziwa bado kuna changamoto ya watoto wenye ulemavu kuendelea kufichwa huku imani potofu ikitajwa kuwa sababu. Na Mrisho Sadick: Kanisa Katoliki Jimbo la Geita kwa kushirikiana na mgodi wa GGML limefanikiwa kuwaibua watoto…
14 November 2024, 12:24 pm
Kero ya stendi Geita kujaa maji yatua baraza la madiwani
Uduni wa miundombinu umetajwa kuwa changamoto ya kituo kikuu cha mabasi ya abiria mjini Geita kuzingirwa na maji kila msimu wa mvua huku mikakati ya kutatua changamo hiyo ikiwekwa. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya mji wa Geita kukumbwa…
14 November 2024, 10:16 am
Jaketi chafu la dereva pikipiki egesho la Mpomvu lachomwa moto
Madereva pikipiki mkoa wa Geita wameendelea kusisitizwa kuzingatia usafi hali ambayo inapelekea baadhi ya maegesho kuweka sheria ndogo ndogo ili kuzingatia hilo. Na: Kale Chongela – Geita Madereva pikipiki waliopo katika egesho la Mpomvu A kata ya Mtakuja halmashauri ya…
12 November 2024, 7:31 pm
Watendaji watumiwa meseji za vitisho Geita
Joto la uchaguzi wa serikali za mitaa linaendelea kupanda kadri siku zinavyozidi kusogea ambapo katika halmashauri ya mji wa Geita kumedaiwa uwepo wa vitisho kwa watendaji. Na Mrisho Sadick: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita mjini Yefred Myenzi amekemea vikali…