Recent posts
19 October 2023, 11:46 am
TCRA: Ni kosa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine
Bado kuna wimbi kubwa la wananchi ambao wanaendelea kutumia vitambulisho vya taifa vya watu wengine kusajili laini zao za simu jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi. Na Mrisho Sadick: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa onyo kwa watu…
19 October 2023, 11:09 am
Matokeo ya sensa ikawe chachu ya kuwaletea wananchi maendeleo
Kujulikana kwa idadi ya watu na makazi kupitia Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 ikawe chachu ya viongozi wa serikali kupanga mikakati ya maendeleo kwa wananchi wake. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amewataka…
18 October 2023, 6:30 pm
Madereva waonywa kupakia dizeli, petroli kwenye usafiri wa umma
Changamoto ya baadhi ya wasafirishaji kuruhusu kupakia chupa zenye mafuta ya dizeli na petroli kwenye vyombo vyaio imekuwa kero kwa abiria mkoani Geita. Na Zubeda Handrish- Geita Baadhi ya abiria wanaotumia magari madogo ya abiria aina ya hiace yanayofanya safari…
18 October 2023, 10:53 am
Nyumba zaidi ya 100 zaezuliwa na upepo Nyang’hwale, mmoja afariki
Tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwaka huu imeendelea kuleta madhara kwa baadhi ya wananchi Mkoani Geita huku chanzo cha madhara hayo ni uduni wa makazi. Na Mrisho Sadick: Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyodumu kwa dakika 30 imeezua na…
17 October 2023, 10:25 am
Serikali ya wilaya Geita yaagizwa kuongeza kasi usambazaji wa mbolea
Serikali imetakiwa kuharakisha mchakato wa usambazaji wa Mbole kwa wakulima kwakuwa wakulima wengi hususani katika wilaya ya Geita hawajafikiwa na mbolea hizo. Na Mrisho Sadick Chama Cha Mpinduzi CCM wilaya ya Geita kimeiagiza serikali ya wilaya ya Geita kusambaza kwa…
15 October 2023, 6:59 am
Popo wavamia mtaa, wananchi wakumbwa na taharuki Geita
Changamoto ya popo katika baadhi ya maeneo Tanzania imeonekana kuwa ni sugu, hilo pia limetokea katika mtaa wa katikati ya mji wa Geita. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa mtaa wa Nyerere Road uliopo kata ya Kalangalala, halmshauri ya Mji…
14 October 2023, 12:05 pm
GGML yatimiza ahadi ya basi jipya kwa klabu ya Geita Gold FC
Changamoto ya usafiri baada ya klabu ya Geita Gold FC kupanda Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22, umepelekea mdhamini mkuu wa klabu hiyo GGML kuahidi basi litakalowarahisishia kusafiri. Na Zubeda Handrish- Geita Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine…
13 October 2023, 1:03 pm
Mkoa wa Geita kupata Mahakama Kuu
Idadi ya watu milioni 2.9 katika Mkoa wa Geita imemsukuma Jaji Mkuu wa Tanzania kuanzia Mahakama kuu Mkoani Geita. Na Mrisho Sadick Geita: Jaji Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa tume ya utumishi wa Mahakama Profesa Ibrahimu Juma ameagiza kuanzishwa…
12 October 2023, 11:05 am
Wilaya ya Geita kufanya msako wa wazazi waliotelekeza familia
Wakati serikali ikiendelea kupambania haki sawa kwa mtoto wa kike wananchi na wadau wametakiwa kuiunga mkono katika mapambano hayo. Na Mrisho Sadick: Watendaji wa Mitaa na Kata wilayani Geita wameagizwa kufanya msako nakuwachukulia hatua kali wazazi na walezi ambao wamewatelekezea…
9 October 2023, 6:03 pm
Watu watatu wafariki kwa ajali Geita, wawili watumishi wa serikali
Ajali za barabara zimeendelea kukatisha uhai wa watu wengi , jitihada za makusudi zinahitajika ikiwemo elimu kwa watumiaji wa vyombo vya moto ili kupunguza matukio hayo hususani kwa waendesha pikipiki. Na Mrisho Sadick – Geita Watu watatu wakiwemo watumishi wawili…