Storm FM

Recent posts

20 January 2025, 2:15 pm

Mzozo waibuka Geita baada ya Yanga kufurushwa klabu bingwa

Baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu ambao hawajafahamika majina yao katika halmashauri ya manispaa ya Geita wameingia katika ugomvi na majibizano kwa kile kilichodaiwa ni ushabiki wa timu zao za Simba na Yanga Na: Amon Mwakalobo – Geita Chanzo…

20 January 2025, 12:41 pm

Wazazi walia na changamoto ya madawati Mtakuja

Licha ya juhudi za serikali kuhakikisha inajenga vyumba vya madarasa nchini, bado wakazi wa kijiji cha Mtakuja wanaeleza changamoto wanayopitia. Na: Nicholaus Lyankando – Geita Wanafunzi katika shule ya msingi Mtakuja kata ya Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita wamelazimika kusoma…

16 January 2025, 2:27 pm

Shirika la ICAP latoa pikipiki 50 idara ya afya Geita

Katika kuendelea kurejesha kwa jamii, shirika la ICAP limefadhili jumla ya pikipiki 50 kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii mkoani Geita. Na: Edga Rwenduru – Geita Shirika la ICAP linalotoa huduma ya matibabu na matunzo kwa waathirika wa Virusi…

16 January 2025, 11:31 am

Atupiwa vitu nje kwa kushindwa kulipa kodi miezi 8

Wananchi wanakumbushwa kuzingatia suala la mikataba baina yao na wenye nyumba ili kuondoa migongano na migogoro baina yao. Na: Kale Chongela – Geita Mariasalome Stanslaus mkazi wa mtaa wa Msalala road kata ya Kalangalala halmashauri ya manispaa ya Geita amelalamikia…

15 January 2025, 11:08 am

Zifahamu fursa za Geita kuwa Manispaa

Disemba 13, 2024 waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa alitoa taarifa ya kupandisha hadhi halmashauri ya mji wa Geita kuwa manispaa. Na: Ester Mabula – Geita Mstahiki meya wa manispaa ya Geita Costantine Morandi amesema kuwa imekuwa neema kwa halmashauri…

15 January 2025, 10:57 am

CCM yazindua jengo la kitega uchumi Jumuiya ya wazazi Geita

Watumishi wa  Umoja wa Jumuiya wa wazazi kupitia chama cha mapinduzi (CCM mkoa wa Geita  wametakiwa kutunza na Kulinda Nyumba za Jumuiya hiyo na wala wasigeuze Matumizi yake. Na: Nicholaus Lyankando – Geita Wakizungumza katika uzinduzi wa Jengo jipya  la…

15 January 2025, 10:48 am

Baba mkwe adaiwa kumtaka kimapenzi mkwe wake Geita

Migogoro ya kifamilia bado ni changamoto kwa baadhi ya maeneo hali ambayo imekuwa ikikwamisha jitihada za utafutaji. Na: Kale Chongela – Geita Mwanamke Kabula Makelemo (21) mkazi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja Manispaa ya Geita amejikuta katika wakati…

15 January 2025, 10:25 am

Wezi waiba ng’ombe kisha kuchinja usiku mtaa wa Magogo A

Matukio ya wizi katika mtaa wa Magogo A kata ya Buhalahala manispaa ya Geita mkoani Geita yadaiwa kuwa mwiba kwa wakazi wa eneo hilo ambapo kwa sasa hofu imetanda. Na: Paul William – Geita Familia nne tofauti katika mtaa wa…

13 January 2025, 5:39 pm

Wananchi Mpomvu washiriki ujenzi wa kituo cha Afya

Baada ya kuwepo kwa changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya katika maeneo jirani, hatimaye kata ya Mtakuja yaanza ujenzi wa kituo cha Afya. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja manispaa…

13 January 2025, 5:38 pm

TARURA yachukizwa wanaoziba mitaro Geita

Wakazi wa Geita wameelea kuhimizwa kutunza miundombinu ya barabara sambamba na kutoa taarifa pindi wanapobaini uharibifu wa miundombinu. Na: Kale Chongela – Geita Wakala wa barabara za mjini na vijijini TARURA wilaya ya Geita imekemea vikali tabia ya badhi ya…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.