Recent posts
15 October 2024, 2:56 pm
Sekondari ya Lutozo kuondokana na changamoto ya maji
Shule ya sekondari Lutozo iliyopo kata ya Katoro halmashauri ya wilaya ya Geita imeondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya wadau wa maendeleo kushirikiana na serikali kuchimba kisima. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanafunzi wa…
14 October 2024, 11:54 am
GGML kuendelea kufadhili miradi kupitia CSR
Mkoa wa Geita umeendelea kujivua uwepo wa mgodi wa GGML kwa kuwa umekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi katika nyanja mbalimbali hususani katika sekta za elimu na afya. Na: Ester Mabula – Geita Mgodi wa GGML umeahidi kuendelea kushirikiana na…
14 October 2024, 10:49 am
Rais Samia atoa tuzo kwa GGML ushiriki bora wa maonesho Geita
Oktoba 13, 2024 yamehitimishwa rasmi maonesho ya 7 ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini ambayo yalikuwa yakiendelea katika viwanja vya EPZA mjini Geita tangu Oktoba 02, 2024. Na: Ester Mabula – Geita Rais wa Jamhuri ya muungano wa…
12 October 2024, 10:22 am
Ezy Auto Motors yakabidhi gari kwa mteja aliyeagiza mkoani Geita
Wakazi wa Geita hatimaye wamefikiwa na kurahisishiwa kuagiza magari kwa usalama na uhakika zaidi kwa mpango wa kuwekeza, mkopo au kulipa moja kwa moja. Na: Ester Mabula – Geita Katika hafla iliyojaa furaha, kampuni maarufu ya uuzaji magari nchini Ezy…
11 October 2024, 2:02 pm
Mkurugenzi Geita mji akagua vituo vya uandikishaji
Leo Oktoba 11, 2024 limezinduliwa rasmi zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Na: Kale Chongela – Geita Mkururgenzi mtendaji wa halmashauri mji wa Geita Ndugu…
11 October 2024, 12:25 pm
Dkt. Biteko ahimiza wananchi Geita kujiandikisha
Leo Oktoba 11, 2024 limezinduliwa rasmi zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Na: Mrisho Sadick – Geita Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati Dkt.…
10 October 2024, 11:57 am
Wananchi Geita wahimizwa kuhakiki mizani kabla ya kununua
Wakala wa vipimo nchini Tanzania wameendelea kutoa elimu juu ya vipimo sahihi kwa wananchi na wafanyabiashara ili kuondoa changamoto mbalimbali. Na: Ester Mabula – Geita Kaimu meneja wa wakala wa vipimo mkoa wa Geita amesema kwa sasa wanaendelea kutoa elimu…
10 October 2024, 11:10 am
Njema Labs wapongeza uwepo wa maonesho ya madini Geita
Leo ni siku ya 9 tangu kuanza kwa maonesho ya 7 ya teknolojia ya madini mkoani Geita ambayo yameendelea kufanyika kila mwaka yakiwakutanisha watu mbalimbali. Na: Ester mabula – Geita Kampuni ya Njema Labs inayojihusisha na upimaji wa sampuli za…
10 October 2024, 10:41 am
GGML yafadhili vipimo bure kwa wananchi kupitia ICAP
Kampuni ya Geita Gold Minning Limited inayojihusisha na uchimbaji madini ya dahabu mkoani Geita imeendelea kurejesha kwa jamii kupitia utoaji na uwezeshaji wa huduma mbalimbali zinazowalenga wananchi. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya GGML ikishirikiana na shirika la ICAP…
9 October 2024, 10:29 am
Waziri Mavunde atembelea kijiji cha Ushirika, atoa maagizo kwa TAKUKURU
Waziri wa Madini Antony Mavunde ameendelea na ziara za ndani ya mkoa wa Geita akitembelea maeneo mbalimbali sambamba na kuzungumza na wachimbaji wadogowadogo. Na: Edga Rwenduru – Geita Waziri wa madini Anthony Mavunde ameiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na…