Recent posts
12 May 2021, 9:28 am
Wajilinda kuzuia ndoa za utotoni
Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Igate kata ya Nzera halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita wameweka mikakati ya kutokomeza vitendo vya baadhi ya wazazi wenye tabia ya kuozesha watoto wadogo badala ya kuwapeleka shule. Wakizungumza na Storm…
11 May 2021, 6:01 pm
Watoto 2,578 Wapatiwa Chanjo Mkoani Geita
Na Mrisho Sadick: Watoto 2578 waliochini ya umri wa miaka mitano wamepatiwa chanjo katika mkoa wa Geita kwenye wiki ya Maadhimisho ya chanjo ya Umoja wa Mataifa(UN) idadi ambayo ni mkubwa ukilinganisha na lengo la serikali ya mkoa huo ya…
4 May 2021, 6:55 pm
Tumekuja kuinua soka la wanawake
Na Mrisho Sadick: Mwenyekiti wa Chama cha Soka la wanawake Mkoani Geita Mwalimu Veronica William ameahidi kuinua soka la wanawake Geita kwa kuanza na shule za Msingi. Amesema hayo siku chache baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho nakuahidi…
4 May 2021, 6:47 pm
Atelekezwa baada ya kubeba ujauzito Geita
Na Mrisho Sadick: Msichana (15) Mkazi wa Mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita ametelekezwa na mume wake alieahidi kumuoa baada ya kubeda ujauzito. Msichana huyo anaefahamika kwa jina la Letisia Masanja mzaliwa wa wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza ambae alipotezana…
4 May 2021, 6:39 pm
Baba auza mbuzi nakutelekeza familia
Na Mrisho Sadick: Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamme Mmoja katika Mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita ameuza mashine na mbuzi za familia kisha kwenda kuoa Mwanamke mwingine. Akizungumza na Storm FM Bi Hadija Mbita amesema kwasasa familia yake inakabiliwa…
3 May 2021, 6:56 pm
Mtendaji akataliwa baada ya kususia kikao cha kata
Na Mrisho Sadick: Kikao cha maendeleo ya kata katika kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita kimeadhimia kwa pamoja kutofanya kazi na Afisa mtendaji wa kata hiyo baada ya kuonesha utovu wa nidhamu kwa kususia kikao hicho. Inaelezwa kuwa sababu…
3 May 2021, 6:18 pm
Ajinyonga hadi kufa kisa kakutwa na vvu Geita.
Na Mrisho Sadick: Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Shija Mwanzalima (30) Mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A mjini Geita kujinyonga hadi kufa. Kamanda amesema kabla ya Shija kufanya kitendo hicho alimjeruhi Mtoto wake…
1 May 2021, 12:33 pm
TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali Geita
Wajasiriamali wa Mamlaka ya mji Mdogo wa Katoro wilayani na Mkoani Geita wamekutana na viongozi wa shirika la viwango Tanzania TBS kwa lengo la kuwapatia mafunzo ya kutengeneza bidha mbalimba zenye ubora na viwango vinavyokubalika. Akizungumza kwenye mafunzo hayo Mkuu…
1 May 2021, 12:12 pm
Acheni kufugia kuku vyandarua jikingeni
Na Kale Chongela: Wakazi wa mtaa wa Msalalaroad kata ya kalangalala Halmashauri ya mji wa Geita wameshauriwa kuendelea kuzingatia matumizi ya vyadarua ili kujikinga na mbu waenezao malaria nasiyo kuvitumia kwa matumizi mengine ikiwemo kufugia mifugo. Rai hiyo imetolewa na …
1 May 2021, 12:01 pm
Msichana adaiwa mchawi baada ya kukutwa uchi nyakati za usiku
Na Mrisho Sadick: Mtoto anaekadiriwa kuwa na zaidi ya umri wa miaka 15 katika mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita amewekwa chini ya ulinzi na wananchi baada ya kukutwa akiwa hana nguo nyakati za usiku kwenye makazi ya watu nakudaiwa…