Recent posts
4 August 2021, 7:49 pm
RC Geita azindua Chanjo kwa kuchanjwa.
Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Bi Rosemary Senyamule ametoa onyo kwa watumishi wa afya na vituo binafsi vyakutolea huduma za Afya watakaobainika wakiwauzia wananchi chanjo ya kujikinga na corona. Mkuu wa Mkoa huyo Senyamule ametoa kauli hiyo…
4 August 2021, 4:54 am
Upatikanaji wa huduma za afya bado ni changamoto.
Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya mji wa Geita bado inakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya kwa baadhi ya maeneo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa watumishi pamoja na kushindwa kukamilika kwa majengo ya Zahanati. Hayo yamebainishwa…
3 August 2021, 2:26 pm
Shamba la migomba lafyekwa Geita.
Na Zubeda Handrish: Shamba la migomba lenye ukubwa wa ekari mbili limeharibiwa na watu wasiojulikana ikisemekana kuwa chanzo cha uharibifu huo ni mgogoro wa Ukoo dhidi ya Shamba hilo. Mmiliki wa Migomba hiyo Bw. Faida Lunsalia amesikitishwa na kitendo hicho…
3 August 2021, 2:19 pm
Mtoto alishwa kinyesi Ikulwa.
Na Zubeda Handrish: Mtoto wa darasa la nne ambaye ni mkazi wa kata ya Ikulwa mkoani Geita anadaiwa kulishwa kinyesi na mama yake mlezi (wa kambo) ikisemekana chanzo ni ugomvi wa wazazi. Afisa maendeleo katika kata hiyo Bi. Tabisa James Yawanga amesikitishwa…
3 August 2021, 1:54 pm
Duka laungua moto.
Na Zubeda Handrish: Duka la vyombo la vyumba viwili limeungua moto katika mtaa wa Mission uliopo katika halmashauri ya mji wa Geita huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika. Mmiliki wa duka hilo Bw. Venas John Mpalamawe amesikitishwa na tukio…
3 August 2021, 1:33 pm
Mfumo wa uchukuaji taka ni kero kwa wakazi.
Na Zubeda Handrish: Wakazi wa mtaa wa Nyerere Road katika halmashauri ya mji wa Geita, wameuomba uongozi wa serikali ya mtaa huo kusimamia suala la uchukuaji wa taka katika makazi yao kwakua magari yanayobeba taka hizo hupita barabara kuu pekee…
8 July 2021, 8:43 pm
Tunakabiliwa na changamoto nyingi:
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kata ya Nyarugusu wilayani Geita wameiomba serikali kuendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili ikiwemo nishati ya umeme pamoja na kusogeza huduma ya ofisi ya madini katika eneo hilo. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa…
7 July 2021, 8:26 pm
Tunatambua mchango wa wawekezaji:
Mgodi wa uchimbaji wa madini ya dhahabu wa Busolwa Mining uliyopo kata ya Nyarugusu wilayani Geita umeahidi kuendelea kushirikiana na serikali katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa kata hiyo. Akizungumza mara baada ya kutembelewa na…
8 June 2021, 4:06 pm
Breaking News: Mtu Mmoja Ajeruhiwa Kutokana Na Ajali Ya Gari.
Na Ester Mabula: Mtu Mmoja ambae hakujulikana kwa jina Wala Makazi amejeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Hiace lenye namba za usajiri T- 115 – DGV wakati alipokuwa akijaribu kuvuka Barabara na baiskeli. Baadhi ya abiria waliyokuwa ndani…
8 June 2021, 3:37 pm
Jamii Yaaswa Kuwaelewa Wajawazito
Na Zubeda Handrish: Jamii imetakiwa kuwa na uelewa juu ya hali anayopitia mwanamke katika kipindi cha ujauzito ambacho mara nyingi hupelekea mwanamke kuchagua baadhi ya vyakula pamoja na hasira. Hayo yamezungumzwa na Daktari Victor Kajoba kutoka hospitali binafsi ya SAKAMU…